nahitaji company leo

Mwaka huu utaondoka na wengi...ole wenu wanaume wapenda magumegume!!!
 
Jamani weekend ndo hiyoo.mpaka sasa sijakumbukwa na mtu,naomba mwanaume yeyote mwenye tatizo kama langu anitafute

Unatatizo gani?.....haya ni PM tu-share ilo tatizo, satisfication guaranteed!
 
duh umerudi kazini..............
 
si mchezo inaonekana hapa ndani vichwa vipo vya kutosha.

Haswa bizinesi yake itakuwa inalipa ndio maana haachi kuja kila mara ajisikiapo kuwashwa.
 
biashara matangazo

Hahahah bora umekiri aisee...maana nakumbuka ulianza kwa streteji nzuri kwa kumtafuta jamaa yako yuleeee aliyeoa.
Watu wakakuhurumia wee kumbe muvi ndio kwanza lilikuwa linaanza...enewei hongera sana kwa kipaji ulichonacho nitakuweka kwenye kitengo cha marketing hapa ofisini kwetu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…