Nahitaji circuit ya LG G3 kwa anayeuza tafadhali

Nahitaji circuit ya LG G3 kwa anayeuza tafadhali

Ennosaynt

New Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
4
Reaction score
1
Habari wana, ninahitaji circuit ya simu aina ya LG G3 Kwa aliye nayo kwa bei nafuu wasiliana na mm kwa namba 0674810827,
Nipo dar.
 
Habari wana, ninahitaji circuit ya simu aina ya LG G3 Kwa aliye nayo kwa bei nafuu wasiliana na mm kwa namba 0674810827,
Nipo dar.
IKITOKEA NITAKUCHECK NIMEBAKIWA NA G4 LG TOUCH HAIFANYI KAZI SIMU NZIMA IPO SOKONI
 
Habari wana, ninahitaji circuit ya simu aina ya LG G3 Kwa aliye nayo kwa bei nafuu wasiliana na mm kwa namba 0674810827,
Nipo dar.
Usisumbuke mkuu Bora uagize mtandaoni 100000/=
0a5a397a78646442d7ba15bb86b18707.jpg

607dcc198e58e5d0c4524235fb02b50f.jpg

385182b8d3aac39f29e4f91d378483cb.jpg

Enjoy.....
 
Usisumbuke mkuu Bora uagize mtandaoni 100000/=
0a5a397a78646442d7ba15bb86b18707.jpg

607dcc198e58e5d0c4524235fb02b50f.jpg

385182b8d3aac39f29e4f91d378483cb.jpg

Enjoy.....
Wazo jema bro, unaweza kunielezea process zote ad ifike hapa na kodi zake??? Please, coz sijawahi fanya hiyo mambo, tell me simply
 
Wazo jema bro, unaweza kunielezea process zote ad ifike hapa na kodi zake??? Please, coz sijawahi fanya hiyo mambo, tell me simply
Kwa item moja hamna kodi mkuu. Item itawasili bongo ndani ya siku 15-21 kwa njia ya posta.
 
Nahitaji circuit ya Blackberry Z10
Kama unayo nichek Dm/Pm tufanye business
 
Vp jmn naomben mxaada kwa wenye touch ya infinix note 2 anjuze coz yangu imepaxuka xana npo chuga 0768350147
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom