Nahitaji chumba na sebule vya kupanga

Nahitaji chumba na sebule vya kupanga

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
Habarini humu ndani.
Jamani nahitaji Nyumba ya kupanga
iwe chumba na sebule. Maeneo ya ilala, malapa. Pia Ubungo hasa riverside na Pia Ubungo Maziwa na mabibo mwisho.
Umeme na maji Pia muhimu Sana Rent isizidi 60000 miezi 6 pm me now
 
Urgent, nahitaji nyumba iwe 2 bedrooms, jiko na choo, iwe maeneo ya makongo juu, survey, mwenge, changanyikeni na mbezi tanki bovu, ikiwa na fence ni vizuri zaidi
 
Urgent, nahitaji nyumba iwe 2 bedrooms, jiko na choo, iwe maeneo ya makongo juu, survey, mwenge, changanyikeni na mbezi tanki bovu, ikiwa na fence ni vizuri zaidi

Ipo moja Makongo. 2 bedrooms one of which is a master, sebule, jiko limewekwa kitchen cabinets kabisa. Maji kujitegemea, na umeme. Parking ya kumwaga hata kama una scania. 350,000/= ndo bei yake.
interested?
 
Bajeti yangu 300,000/-, incase ni hiyo 350 kodi anachukua ya miezi 6?
 
sidhani. mzee mwenyewe ana njaa kweli. ila ipo maeneo mazuri sana, usalama na iko barabarani kabisa about 5kms from Mlimani City ndugu mmura
 
Last edited by a moderator:
Ipo moja Makongo. 2 bedrooms one of which is a master, sebule, jiko limewekwa kitchen cabinets kabisa. Maji kujitegemea, na umeme. Parking ya kumwaga hata kama una scania. 350,000/= ndo bei yake.
interested?

maji kujitegemea maana yake nini
 
maji kujitegemea maana yake nini

makongo maji ni ya kununua mkuu.
So kila mtu ana tank laki la lita 1000. Mwenye nyumba amechimba kisima na kina maji ila full chumvi. Alternatively waweza nunua maji ya bomba magari yanapitisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom