Nahitaji chumba cha kupanga "self room"

VENTURECACHER

Member
Oct 24, 2011
36
7
Nahitaji chumba cha kupanga chenye uzio, mita ya peke yake, au isyozidi watu 2, maji ya kutosha na maeneo kijitonyama makumbusho, tegeta tank bovu, mwenge. Bei yangu elekezi mwisho 100000 @ mwezi. My no 0682620200.
 
Back
Top Bottom