Amani ya Bwana iwe nanyi.
Ni mimi kijana wenu mhitimu wa Chuo Kikuu nipo katika kujitafuta kwenye mji huu wa Moshi nimejishikiza sehemu kikazi
Naomba msaada wa chumba cha kupanga master au master sebule sawa, bei isizidi 130,000/=
Maeneo ya mitaa ya Mbuyuni, Dar Es Salaam hadi Soweto na maeneo mengine jirani na hiyo mitaa.
Natanguliza shukrani.