Hodii wakubwa zangu,,mm ni mgeni hum ndani ya mjengo,,nitangulize samahani,,naomba mwenye uelewa na bei za cherehan za umeme pa1 na za kawaida anisaidie,,nitashukuru xana endpo nitapata msaada
Watakuja kukusaidia, ila uandishi wako wa Facebook uishie huko huko. Ukiandika humu ujue kuna watu wenye akili timamu na weledi wa hali ya juu, hivyo ni muhimu kukomaa kiakili, kimtazamo, kifikra na hata namna ya kujibu na kuandika mawazo yako.