Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
Habari wadau naomba msaada angle ipi naweza pata channels za kituruki nyingi achana na TRT ya kwenye Eutelsat 36A na Samanyolu ya SES 5 at 4.9.
BURTON JORDE
BURTON JORDE
Ninayoijua ni moja mkuu niliyokuwa ninaipata, inaitwa Samanyolu TV Frequency details zake ni Fr-12083 Pol-V SR-22000
Ndugu hiyo nilikuwa inakamata zamani sana. Ilikuwa kama 2012. Hizo details nilizihifadhi kwenye notebook tu. Nimeshasahau hata hizo degree kwa sababu natumia StartimesAsante hiyo naipata ila kwa 12034 H 27500 @ SES 5 at 4.9' hiyo unaipatia degree gani?
BURTON JORDE