Habari wakuu,
Jamani nina shida na chainsaw, Nahitaji kwaajili ya kukatia miti eneo linalokadiriwa kuwa la ekari 50-100. wapi ninaweza kununua mpya? bei zake ni kiasi gani?
Recommendation on which size is suitable, 50cc, 80cc or above that?
Asanteni sana.