I Idrissou02 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2018 Posts 356 Reaction score 659 Mar 13, 2023 #1 Naombeni msaada kwa atakayeweza kunisaidia kuzipata mbegu hizi. Nahitaji angalau kg 150 nifanye kilimo cha kitaalamu.
Naombeni msaada kwa atakayeweza kunisaidia kuzipata mbegu hizi. Nahitaji angalau kg 150 nifanye kilimo cha kitaalamu.
chief muswati Senior Member Joined Apr 27, 2019 Posts 128 Reaction score 87 Mar 13, 2023 #2 Idrissou02 said: Naombeni msaada kwa atakayeweza kunisaidia kuzipata mbegu hizi. Nahitaji angalau kg 150 nifanye kilimo cha kitaalamu. Click to expand... Watafute tala wanazo mbegu zilizofanyiwa utafiti
Idrissou02 said: Naombeni msaada kwa atakayeweza kunisaidia kuzipata mbegu hizi. Nahitaji angalau kg 150 nifanye kilimo cha kitaalamu. Click to expand... Watafute tala wanazo mbegu zilizofanyiwa utafiti
Kamgomoli JF-Expert Member Joined May 3, 2018 Posts 1,926 Reaction score 4,110 Mar 13, 2023 #4 Uzalishaji wa mbegu za maharage ni changamoto kubwa nchini kwetu bado ni wa chini mno.
I Idrissou02 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2018 Posts 356 Reaction score 659 Mar 13, 2023 Thread starter #5 chief muswati said: Watafute tala wanazo mbegu zilizofanyiwa utafiti Click to expand... Tala sio kampuni ya mikopo iyo?
chief muswati said: Watafute tala wanazo mbegu zilizofanyiwa utafiti Click to expand... Tala sio kampuni ya mikopo iyo?
I Idrissou02 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2018 Posts 356 Reaction score 659 Mar 13, 2023 Thread starter #6 Kamgomoli said: Uzalishaji wa mbegu za maharage ni changamoto kubwa nchini kwetu bado ni wa chini mno. Click to expand... Sanaa na sababu mojawapo inayochangia n upatikanaj adimu wa mbegu bora
Kamgomoli said: Uzalishaji wa mbegu za maharage ni changamoto kubwa nchini kwetu bado ni wa chini mno. Click to expand... Sanaa na sababu mojawapo inayochangia n upatikanaj adimu wa mbegu bora
chief muswati Senior Member Joined Apr 27, 2019 Posts 128 Reaction score 87 Mar 14, 2023 #7 Idrissou02 said: Tala sio kampuni ya mikopo iyo? Click to expand... TARI nilkosea spelling
mboya99 New Member Joined Jul 22, 2019 Posts 2 Reaction score 1 Mar 16, 2023 #8 Certified seed una maana gan . Mbegu zilizo zibitishwa na mamlaka . Au mbeg zilizo zalishwa ambapo zko stage ya certification 2 from pre basic seed
Certified seed una maana gan . Mbegu zilizo zibitishwa na mamlaka . Au mbeg zilizo zalishwa ambapo zko stage ya certification 2 from pre basic seed
I Idrissou02 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2018 Posts 356 Reaction score 659 Mar 16, 2023 Thread starter #9 mboya99 said: Certified seed una maana gan . Mbegu zilizo zibitishwa na mamlaka . Au mbeg zilizo zalishwa ambapo zko stage ya certification 2 from pre basic seed Click to expand... Mbegu ziizothibitishwa na mamlaka. Kwa ufupi zimewekwa viatilifu kwa ajili ya kupambana na magonjwa na wadudu, na zinatoa mazao mengi.
mboya99 said: Certified seed una maana gan . Mbegu zilizo zibitishwa na mamlaka . Au mbeg zilizo zalishwa ambapo zko stage ya certification 2 from pre basic seed Click to expand... Mbegu ziizothibitishwa na mamlaka. Kwa ufupi zimewekwa viatilifu kwa ajili ya kupambana na magonjwa na wadudu, na zinatoa mazao mengi.
T Tangantika JF-Expert Member Joined Aug 12, 2018 Posts 5,806 Reaction score 7,417 Mar 25, 2023 #10 Nenda chuo Uyole waweza pata.