Nahitaji busara za Mshana jr na Faizafoxy

Maswali yako ni "closed questions".

Sema tu unataka ufafanuzi upi. Nitajitahid.
Yaaani ni hivi.

Mfano mtu awe hataki kujihusisha na siasa kwa maana asiende kupiga kura kwa mgombea yeyote,yaani yeye akishapita kiongoz yeyote ndio wake.
Akawa hana uhudhuriaji wa kwenye kampeni yeye yuko na mambo yake.
Hana habari za siasa kabisaa hana chamaaa.

Jee mtu kuishi hivi inaweza kumletea madhara katika maisha yake ya kawaida?
 
Haina madhara yoyote na nijuavyo hao ndiyo wengi zaidi kuliko wanaojihusisha na siasa.
 
1) Inawezekana.
2) Inawezekana.
3) Inawezekana.


Samahani Aunt Faiza, hii ya pili (kwa ufahamu wangu) inahitaji darasa la kutosha sana ili ieleweke inawezekana vipi??!!.
 
Ungewainbobo we mzee vipi?!!
 
Hakuna madhara,
Tupo wengi tunaishi bila kushabikia chama chochote cha siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…