Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

Njoo DM
 
Bibie..! Ukweli halisi ni kwamba unamtaka rafiki ambaye baadae ageuke kuwa mume

Ungekuwa urafiki tu wa kawaida huwezi kuomba ajitokeze mwenye sifa kama ulizotaka, ungeanza naye tu anaekufaa

Pili usingetaka mmoja kama hao uliokuwa nao wa kike walivyokuwa zaid

Tatu isingekuwa muhimu kunasibu umbo lako kama mrefu au mfupi nk

Nne hivyo unavyotaka huyo mtu awe navyo unataka avidhihirishe wapi? Humu ndani au mkiwa pamoja?

All in all uko sawa tu, UTAMPATA
 
Leo nimependa mwandiko wako,nimependa pia ulichoandika.

Umeeleweka!!
 
Mmmh.... Ujeuri umetoka wapi tena? Maana nmekujibu kama ambavyo umekuja the harder you come the harder you leave.

Mi nlidhani ni mwanamke
haya kama wewe ni jinsia me.makubwa.

Basi ntaku treat kama me.
hehehe... astaghafirurah..
 
Natafuta rafiki tu mwenye sifa kama Gudume,ila Gudume kaoa!!! Ha ha ha ha ha ,msomi wa elimu ya chuo asiyejua nini anataka
 
Honey 50thebe Acha akaolewe na Babake au Mjombake 😂😂😂
Next time uwe unani tag kwenye nyuzi zinazochangamsha genge sio hizi nasoma mpaka nasinzia (Predictable & Boring)
 
how I can get you I'm serious love you're phrase karibu ni karibishe mamaa
 
Kwenye thread yako ungesema unataka BF awe na mironjo Kama MHURI25 asee ningepata mbichwa huo sema ujazungumzia Hilo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…