Nahitaji Blackberry Or Android Phone!

Nahitaji Blackberry Or Android Phone!

callist

Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
40
Reaction score
5
guys niaje,natafuta any blackberry iwe Used Either Pearl or Curve Iwe Katika Condition Inayoridhisha Kidogo..pia mwenye Android bt not Ideos za tiGO..bei yangu ni 100,000..nipigie simu au tuma txt..please please 0718882873
 
blackberry,pearl,curve,Ideos,tigo,Android,please
 
kwa hiyo bei utauziwa simu chini ya mnara
 
Ukipata BB kwa bei iyo jiulize mara mbilimbili. Hata mateja hawataiuza good running BB kwa bei hiyo,itakuwa mwana JF? Fikiria chukua hatua!
 
aiseee kw ahiyo laki moja yako labda ukatafute simu za mchina tu huwezi pata BB wala simu yoyote kati ya hizo ulizo zitaja hapo juu
 
aiseee kw ahiyo laki moja yako labda ukatafute simu za mchina tu huwezi pata BB wala simu yoyote kati ya hizo ulizo zitaja hapo juu
Nashukuru kwa majibu yenu..ahsanteni,thus y nilikuwa specific oky gotcha yah..
 
BB kwa laki??? Callist eh masikhara ukiipata niletee nitakupa 150k
 
Back
Top Bottom