Nahitaji binti wa kuniliwaza

Nahitaji binti wa kuniliwaza

Rlukaku

Senior Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
100
Reaction score
20
Tangu niachane na Girlfriend wangu nimekuwa katika wakati mgumu sana. Wakati mwingine napata hasira bila sababu za msingi. Hapa nyumbani naishi na mdogo wangu, sometimes nakuwa si 'mtreat' fair, kwa ajili ya frastration zangu.

Huwa najilaumu sana kwa matendo ninayofanya. Hivyo leo nimeamua kutumia jukwaa hili kama njia mojawapo ya kutatua tatizo langu. Umri wangu ni miaka 30, sibagui dini ila umri kati ya miaka 22-28. Kwa mengine zaidi ni PM.
 
Nani alikwambia kuwa mwanamke ni chombo cha kukuliwaza?
 
Na mie natafuta mpenzi wa kumliwaza naye aniliwaze.
 
Back
Top Bottom