Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 8,199
- 9,913
Mwenye kufahamu sehemu wanapouza mabegi mazuri ya laptop kwa hapa Dar naomba anielekeze. Nilishatembelea GAME iliyopo Mlimani City, mabegi waliyonayo sikuyapenda, na hata duka lililopo jirani na GAME mabegi waliyonayo sio mazuri na bei yao iko juu, bei inaanzia 270,000/=.
Hata kama kuna mabegi mazuri ya mtumba mnielekeze niko tayari kununua.
Hata kama kuna mabegi mazuri ya mtumba mnielekeze niko tayari kununua.