Nahitaji bango la tangazo la biashara lenye 150cm kwa 80cm

IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Oct 22, 2011
2,071
1,314
Wadau nahitaji bango la biashara liwe lenye taa kwa ndani. inamaana wakati wa usiku linawaka. kwa yeyote anaejua ni wapi wanatengeneza anijuze. pia nitapenda kujua bei ya bango la urefu wa 150cm na kimo 80cm. Ni PM haraka tufanye biashara
 
mabango natengeneza kwa gharama hizi hapa lenye taa ndani upana mita 1 ni shs 250,000, lisilo na taa ni sh 150000 upana mita moja, gharama hiyo inajumlisha na printing kwenye PVC na Artwork ya Tangazo. Litaletwa kwako likiwa tayari utanunua nguzo kwa gharama zako na kuliweka ni gharama zako. tuwasiliane kwa 0713 48 88 89
 
Mi naitaji bango La biashara..
Urefu Futi 5
Upana futi 2.5
Nitajie bei nakuja kesho...Fastaaa
 
mabango natengeneza kwa gharama hizi hapa lenye taa ndani upana mita 1 ni shs 250,000, lisilo na taa ni sh 150000 upana mita moja, gharama hiyo inajumlisha na printing kwenye PVC na Artwork ya Tangazo. Litaletwa kwako likiwa tayari utanunua nguzo kwa gharama zako na kuliweka ni gharama zako. tuwasiliane kwa 0713 48 88 89
Mkuu unapatikana wapi? Na,stika unaweka pia??
 
Hivi mabango unayalipia,kwa mfano nataka kuliweka bango langu maeneo ya stend letsay natakiwa nifate steps zipi
 
Hivi mabango unayalipia,kwa mfano nataka kuliweka bango langu maeneo ya stend letsay natakiwa nifate steps zipi
Mkuu ntakutumia namba ya jamaa yangu Ana uzoefu Sana wa hiyo biashara na anaifanya!wana site zao za kuweka matangazo
 
Back
Top Bottom