Mwenye nayo tafadhali, kati ya AutoCAD 2015 na AutoCAD 2016
AutoCAD yoyote unayoitaka unaipata ni wewe na bundle lako tu ushinde mwenyewe.....Kuna njia ya kuomba student version from Autodesk wenyewe utapewa license ya miaka mitatu na utaitumia pasipo na limitation zozote..
1.Hatua ya kwanza unatakiwa kuwa na a/c ya Autodesk, kama huna utajisajili
2. Hatua pili uta sign in hapa
Free Student Software Downloads | Autodesk Education Community na utaweza kudownload Autodesk software yoyote unayoitaka