Manifestation
Senior Member
- Jan 22, 2020
- 193
- 323
Pengine inawezekana namna unavyomuanza kwenda kufanya hayo mambo ya kikubwa pia ni tatizoKwenye maisha kuna watu wanaweza kuwafanya wenzao kuumia kihisia sana, hivi inakuwaje MTU anakuwa anataka kuwasiliana na wewe ukimhitaji hataki anaruka Mita Mia, ukimkaushia anakasirika ukimwambia Mimi siwezi kuwa rafiki yako haelewi, ukimleta karibu kwa ajili ya kuweza kufanya Mambo ya kikubwa anaruka, anatamani ofa zako umtoe out, umnunulie kitu kizuri, umtafute mara Kwa mara, ukikata mawasiliano anakufuatilia kupitia rafiki zako
Ni kweli Mkuu, huwa sipendi kukaa sehemu kama hiyo Ila nashangaa Kwa nini tunakaribiane Ila Kwa sababu ni workmate siwezi mkaushia fulllhuo ndiyo utumwa mamboleo..toka nduki hapo.
Kupigia Magot k ndo sijawahi wezaga yalishanishinda, yeye anatakiwa aelewe Tu lugha yangu, MTU mzima hatakiwi kuzungushwa sana Mambo ni mengi,Pengine inawezekana namna unavyomuanza kwenda kufanya hayo mambo ya kikubwa pia ni tatizo
Kupigia Magot k ndo sijawahi wezaga yalishanishinda, yeye anatakiwa aelewe Tu lugha yangu, MTU mzima hatakiwi kuzungushwa sana Mambo ni mengi,
Eti piga goti, ndo unafanyaga hivyo mzeeWee jamaa acha ego zakiijinga... Papucbi haisuswi... Piga goti akupe papuchi. Ukishamgegeda yeye sasa ndio utakuwa unampigisha magoti everytime anachezea mvegedo wako mdomoni mwake.
Eti piga goti, ndo unafanyaga hivyo mzee
So akikukosha sana unapiga magoti daily sioAh mie mbele ya papuchi sijivungi napiga goti napata papuchi nikijua kabisa baada tuu ya kumgegeda the power shifts to me. Yeye ndio atakuwa anapiga magoti from then on
That is meKwenye maisha kuna watu wanaweza kuwafanya wenzao kuumia kihisia sana, hivi inakuwaje MTU anakuwa anataka kuwasiliana na wewe ukimhitaji hataki anaruka Mita Mia, ukimkaushia anakasirika ukimwambia Mimi siwezi kuwa rafiki yako haelewi, ukimleta karibu kwa ajili ya kuweza kufanya Mambo ya kikubwa anaruka, anatamani ofa zako umtoe out, umnunulie kitu kizuri, umtafute mara Kwa mara, ukikata mawasiliano anakufuatilia kupitia rafiki zako
Tafsiri ya friendzone ni nini mkuu ?Hawa ndo wale wanaoangalia tamthilia za kikorea na kifilipino
Kashakuweka kwenye friend zone
Chomaka fasta mkaushie mpotezee
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawekwa kwenye nafasi ya urafiki lakini huo urafiki unamnufaisha yeye tu.Tafsiri ya friendzone ni nini mkuu ?
Ni sawa na plutonic relationship ?Unawekwa kwenye nafasi ya urafiki lakini huo urafiki unamnufaisha yeye tu.
Wee utapigaje daily sasa.... Jinsi ilivyo unapiga magoti kumgegeda mara ya kwanza baanda ya hapo yeye ndio anapiga magoti.So akikukosha sana unapiga magoti daily sio
Hiyo dailee namaanisha kila ukihitaji...So kama umemkubali sana kila ukihitaji unapiga magoti sio.Wee utapigaje daily sasa.... Jinsi ilivyo unapiga magoti kumgegeda mara ya kwanza baanda ya hapo yeye ndio anapiga magoti.
Unampigia magoti mwanzoni tuu. Akishwagegedwa hana jipya tena unaanza tafuta mrembo mwengine. Ila huyu akiendelea kuleta papuchi unaigegeda tuu maana hana ujanja tena.Hiyo dailee namaanisha kila ukihitaji...So kama umemkubali sana kila ukihitaji unapiga magoti sio.