Toa cv zako hapa vidume wachangamke,we unadhani kuhitaji mume inatosha??nani anapenda mizigo siku hizi??,yani una miaka above 25 bado uko kwenu na husomi huna kazi,hujishughulishi,!afu unataka mume ukale na kulala??,siku hiz cv bana .,,mume mwalim mke nesi maisha yanasonga,,