nahitaj mrembo wa ndoa

utayajuaje mapenzi ya dhati? wewe silo pita njia? soma uangalie tu chuoni hapo dogo ...
 
kumbe bado unasoma hata hela hujakamata?
sijui kama watakuja hebu tusubiri
kwani chuoni hujaona o?
 
mwanachuo bum lake la kwake bum langu letu so naogopa kulala njaa
 
naona umepata bumu unaolea hahahaah hongera
 
Mbona chuoni wengi?

Halafu, maisha ya hapa ni ya kufikirika zaidi, utarudi unatoa kamasi......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…