Nahitaj chet cha computer

Nahitaj chet cha computer

Kabaizer

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
504
Reaction score
64
Jamani nahitaj chet cha computer chenye hata ms.office programs.asanteni!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unajua tumia computer au wanunua ili upate kazi?
 
Kasome koz fupi pale ucc, mbona unajiendekeza. Hivi haya maswala ya kununua cheti hayajapotea tu tz! Duuu

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Nenda stationary mwambie akudizainie cha chuo chochote kisha nenda kwa mchonga muhuri akuchongee ur done
 
Kasome koz fupi pale ucc, mbona unajiendekeza. Hivi haya maswala ya kununua cheti hayajapotea tu tz! Duuu

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

mkuu usione najiendekeza ila kazi ni ndan ya wiki moja vip ndani ya wiki moja naweza kusoma shortcoz na kupata cheti?
 
112 utapata fasta

je wajua ni illegal na adhabu yake ni mpaka 15 years in prison
 
112 utapata fasta

je wajua ni illegal na adhabu yake ni mpaka 15 years in prison

Hapo ulipo umefanya vitu illegal vingap?? Je unafaham kua kuishi tu nchi ambayo sio yako ni illegal?? Sasa je unakitambulisho cha nchi yetu??
 
Hapo ulipo umefanya vitu illegal vingap?? Je unafaham kua kuishi tu nchi ambayo sio yako ni illegal?? Sasa je unakitambulisho cha nchi yetu??

Kitambulisho ninacho kuongezea nina passport kabisa ya nchi we unayo?
 
nenda kasome..hacha ukichwa maji..njoo na swali la kutaka kuelekezwa chuo gani kizur sasa sio eti nahitaji cheti..watu kama nyie mnatuangusha
 
nenda kasome..hacha ukichwa maji..njoo na swali la kutaka kuelekezwa chuo gani kizur sasa sio eti nahitaji cheti..watu kama nyie mnatuangusha

"Hacha ukichwa maji"

Natamani kumfaham mwalimu wako wa kiswahili pale o-level!
 
Back
Top Bottom