Nahitahi pikipiki ya hesabu au mkataba

Nahitahi pikipiki ya hesabu au mkataba

4GPA

Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
85
Reaction score
82
Poleni na kazi wakuu,

Mimi kijana nahitaji pikipiki ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari kufanya biashara ya pikipiki mimi niko tayari. Nipo LINDI

Tajiri akiwa Lindi au Mtwara itakua bora zaidi

MAWASILIANO 0714441827
 
Back
Top Bottom