Wandugu habari zenu kiufupi nina mchumba wangu ambae tumeahidiana kuoana endapo mungu ataendelea kubaliki uchumba wetu kiukweli uyu dada nampenda sana sikumoja katika mazungumzo yetu nikijaribu kumdadisi kuhusiana na uchumba wetu wapi tunakosea na wapi tuko sawa ili tuweze kulekebishana katika mazungumzo yetu moja ya tatizo kubwa ambalo analiona ni kwamba katika uchumba wetu sijatumia gharama nyingi kwahiyo yeye anaona itakua rahisi mimi kusitisha mahusiano yetu. Nataka mnisaidie kunishauri juu ya jambo hili ni kweli kutoa pesa nyingi kwa mpenzi wako ndo njia nzuri kwako we mwanaume kuto muacha mpenzi wako au analake jambo