Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
my pleasure Heaven Sent, nina uhakika yaliyomo yamo...
hata kama hayamo, you have what it takes to be someone's wife. Nina uhakika PM yako iko busy sana.
Tatizo liko hapooooooo!Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali . Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo? Its serious problem i need help of advice
Na wanaume wengi unakuta wako after sexual tu wakiwa na haja zao wana act utakatifu. Bora wanaume ka hawana future na mtu waseme wanajichumia milaana ya ajabu tu bure.
Na imagine huyu dada atakua Ali fall asilimia zote kumbe ze guy alikua anamtumia tu. Na wanaume wengi hawajui kuwa mambo yao mengi hayafanikiwi kimaisha simply kwa kuchezea wanawake.
In my life nilishaapa kutokupenda labda mwanaume ndo awe ananipenda basi.
Ni kweli mkuu. Halafu nahisi kitu ambacho nilikuwa sikielewi deeply ni kuwa mwanaume akimpenda mwanamke kwa dhati mahusiano yanadumu sana! Lakini mwanamke kufanya we ndo unajua kupeenda utaumia sana tena sana, let man loves you utaenjoy life asee!
I'm short of words aisee. Hujui tu nilivyojisikia,.. It means a lot to me. Thank you so much, u have honored me.
N:B kumbe physical appearance inahusika sana kwako Hahaha
Na wanaume wengi unakuta wako after sexual tu wakiwa na haja zao wana act utakatifu. Bora wanaume ka hawana future na mtu waseme wanajichumia milaana ya ajabu tu bure.
Na imagine huyu dada atakua Ali fall asilimia zote kumbe ze guy alikua anamtumia tu. Na wanaume wengi hawajui kuwa mambo yao mengi hayafanikiwi kimaisha simply kwa kuchezea wanawake.
In my life nilishaapa kutokupenda labda mwanaume ndo awe ananipenda basi.
Ukweli mtupu yani mwanaume akikupenda mtadumu mana atakuvumilia atakupenda hata madhaifu hayaoni kamwe. Ila wale wa kuchovya chovya ndo wanawake wengi wanapoangukiaga hapo.Ni kweli mkuu. Halafu nahisi kitu ambacho nilikuwa sikielewi deeply ni kuwa mwanaume akimpenda mwanamke kwa dhati mahusiano yanadumu sana! Lakini mwanamke kufanya we ndo unajua kupeenda utaumia sana tena sana, let man loves you utaenjoy life asee!
Tatizo sio ujuzi bado hajapata chaguo sahihi la kumu fit na wanaume wanamtumia kwa vile inaonyesha ana hamu ya ndoa. Mleta mada kuwa na subira Muweza wa yote atakupa wa kufanana nawe,kila jambo na wakati wake,na majira yake.Mimi ninawasiwasi na ujuzi wake panapo sita kwa sita. Amechezwa unyago.?kama bado basis ajaribu.
mito, kama upo single na unahitaji mtu, I'd recommend this lady. Wengine huo mlango tulishafunga kwa hiyo tunawaonyesha wenzetu ambao bado kuingia huko.
Wala usilie mama tupo wengi tyuu....
Wanaume si kiumbe kwa kumwamini asilimia zote ingawa kila binadamu ana mapungufu yake. Mwanaume anaweza kutelekeza familia kisa michepuko asikumbe lakini wanawake wakakumbuka.Mkuu umeongea ukweli tupu, ndo hali halisi ya wanaume kwa kweli, ndo maana hata machangu wanaendelea kupata wateja.
Hapo kwa red nimeipenda strategy yako, itakulipa in the long run
Wanaume si kiumbe kwa kumwamini asilimia zote ingawa kila binadamu ana mapungufu yake. Mwanaume anaweza kutelekeza familia kisa michepuko asikumbe lakini wanawake wakakumbuka.
Hii kitu imewahi kunitokea na kwa marafiki ukipenda mwanaume chance ya kulizwa kubwa,ila akikupenda uta enjoy sana. Na hawezi kukuumiza anakua muwazi.
In nature mwanaume ndo anatakiwa kupenda sema wanawake huwa tunakwepa watupendao na kuangukia kwa wasio na mapenzi. In short kwa wadaganyaji.
mi ngoja nianze kukupenda diva beyonceWanaume si kiumbe kwa kumwamini asilimia zote ingawa kila binadamu ana mapungufu yake. Mwanaume anaweza kutelekeza familia kisa michepuko asikumbe lakini wanawake wakakumbuka.
Hii kitu imewahi kunitokea na kwa marafiki ukipenda mwanaume chance ya kulizwa kubwa,ila akikupenda uta enjoy sana. Na hawezi kukuumiza anakua muwazi.
In nature mwanaume ndo anatakiwa kupenda sema wanawake huwa tunakwepa watupendao na kuangukia kwa wasio na mapenzi. In short kwa wadaganyaji.
Shosti, kuna mtu atakuwa anasafiria NYOTA yako!!!!:redfaces:
Uanze kunipenda kima neno neno, na kirahisi hvo.mi ngoja nianze kukupenda diva beyonce
Tatizo liko hapooooooo!