Destinylady
Member
- Nov 21, 2014
- 52
- 15
Habarini wandugu.
Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu.
Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali. Kunithamini wala kunipenda kama navyoona wenzangu, umri unasonga hakuna kinachoeleweka labda mnisaidie mawazo tatizo litakuwa nini wazalendo?
Its serious problem i need help of advice