Nahisi sina bahati ya kupendwa

Nahisi sina bahati ya kupendwa

ndonga yako iko vizuri!!?? kama haipo powa inaweza ikawa tatzo!! au personality yako wanawake hawaipendi,huwavutii!!Attraction yako toward women ni ndogo!!ungekua karibu ningekupa counselling na ningejua tatizo lako limelalia wapi

ndoga iko vizuri ila tatizo hata wale ambao sijawagonga hukatisha uhusiano bila sababu za kueleweka.
 
ndoga iko vizuri ila tatizo hata wale ambao sijawagonga hukatisha uhusiano bila sababu za kueleweka.

Daahh ningumu kukuelezea tatizo lako!!Kuna powers ambazo watu wanazaliwa nazo zinazo sababisha mtu awe na mvuto kwa watu,apendwe,awe na bahati au asipendwe..ujue kuna watu wanapendwa wakati wana vilema,wanakasoro wala hawana hela lakini wengine hawana k?soro w?na pesa na kila kitu lakini wapenzi hawawataki..Nitafute nikutatulie tatizo lako!!
 
nimeshatafuta sana ila napata za kubadilisha mboga tu,na umri umeenda mkuu siwezi kusubiri zaidi ya hapa.

miaka 30 unalia? Kuna jamaa kafikisha miaka 42 hana mchumba, mtoto wala presha ya kuoa! Usiwaze
 
Sijui ni mie tu..ila naona wanawake wanapenda mwanaume tafu...bright kichwani na anayejitambua...tunapenda dume hata ukiongozana nae unahisi uko safe....mvuto wa mwanaume ni juhudi za kutafuta maisha hata kama hana kipato kikubwa...sio dume halina kazi limekaa na kukunja nne kwenye kochi linategemea muujiza....at least show some effort kupambana na maisha...so hizo ni baadhi ya sifa ambazo wanawake wanapenda kwa mtu ambaye atakuwa na future nae
 
Nimekuonea huruma jaman Kama ndo yamenitokea mie vile,usikate tamaa Mungu yuko upande wako ,hajakutupa mpendwa wangu,endelea kuomba Mungu atakupa chaguo lako pia usiwe unazubaa Sana nikimaanisha kuwa a man,wasichana wengi hawapendi wanaume waliozubaa wasio na maamz Kama mwanaume,future yko iwe powa itamshawishi msichana ,
Poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jipange tu huenda sio fungu lako kupendwa.. anza kujipenda wew kwanza na ujipe shavu kweli then utaona miujiza sio lazima upendwe jipende wew kwanza thats is a greatest love of all
 
Pole sana mkuu kwa kadhia hiyo.Yapo mambo mambo mawili yanayoweza kuwa kisababishi cha tatizo lako.Kwanza ni swala la ufundi kunako sita kwa sita,yawezekana mkuu hapo ukahitaji kupata uzoefu kutoka kwa mafundi wa hili.Wadada wa miaka hii wanataka mwanaume achangamke kitandani.Pili yawezekana wengi wanaona swala la kipato ni tatizo.Kama hii hisia ni ya kweli unahitaji kuwa na mikakati ya kuongeza kipato.Ndoa si kitu cha majaribio inahitaji kujipanga mkuu hivyo hao wote wamekuwa wakikutathimini na kuona labda hakuna bright future.

Nisamehe ninajaribu kuona visababishi tu na siyo kwamba ndivyo ulivyo. Otherwise,nikupe pole sana ukweli wachumba saba ni wengi ila naomba uondoe hisia ya kudhania una mkosi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom