Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 1,124
- 2,679
Sawa mkuuEndelea kuwasiliana nao mkuu watakuja, usikate tamaa mapema hivyo
😅😅😅😅Kula mtaji wote alafu jipige kifuani useme mm ni mzalendooo
Mkuu ni noma yaani huku kuna watu washatengeneza majina kushindana nao sio rahisi.Duh kila sehemu kugumu! Ajira hamna sasa kwakukimbilia ni huko kwenye biashara nako kugumu.
Unaelekea kuisha kabisa.Changamoto utapoteza mtaji ila utakua umejifunza mengi. Mwanzo mgumu
Alisikika kijana mmoja anayekaa chumba kimoja yy dada yake na bwn shemeji akinena bila wasi wasi.Kula mtaji wote alafu jipige kifuani useme mm ni mzalendooo
Kutengeneza connection nzuri ya biashara nayo ni sehemu ya mtaji.Habari wakuu, nipo kwenye kisiwa cha maisome kilichopo sengerema nina mwezi sasa nafanya biashara ya uchuuzi wa samaki aina ya sato natoa huku napeleka mwanza ila faida sipati kwasababu nilikua nachukua kwa walanguzi sio direct kutoka kwa wavuvi so faida ilikua inaishia kwenye malazi na usafiri, ndio nikashauliwa nitafute wavuvi niwadhamini nyavu, pumba na kuwakodishia mitumbwi ili waniuzie samaki kwa bei rahisi kidogo aisee nina week zaidi ya mbili hapa wavuvi kuwapata imekua mziki wote wako chini ya watu nazidi kula mtaji tuu nishaanza kukata na tamaa, kuna wavuvi nilifanyiwa connection kutoka kisiwa kingine nikaongea nao vizuri tuu waje nikawapa na offer nzuri but toka juzi wananiambia wameshakuja wapo ila nikiwaambia tuonane tuongee wananiambia wanakuja, mda unazidi kwenda hakuna ninachofanya yani basi tuu haya maisha hayana maana, mtanisamehe kwa uandishi m'bovu nipo confused.
Huyo kijana atakua anapumuliwa kisogoni na Shemeji yake sio UONGOAlisikika kijana mmoja anayekaa chumba kimoja yy dada yake na bwn shemeji akinena bila wasi wasi.
Wachawi sio lazima wabebe matunguli na kuvaa makaniki na kujipakaa masizi na mganga sio lazima avae mashuka meupe na mekundu akiwa ameshika mkia wa Ng'ombe au Mbuzi na kibuyuBiashara za Kibongo ni uchawi mtupu.
Mpaka muuza vitumbua ana mganga wake
Dah! Game gumu sana kitaaMkuu ni noma yaani huku kuna watu washatengeneza majina kushindana nao sio rahisi.
Mkuu umesema kweli yani huku uchawi ndo umetawala hata wavuvi wananiambia nije nimejipanga huku.Biashara za Kibongo ni uchawi mtupu.
Mpaka muuza vitumbua ana mganga wake
Nenda kwenu ukaage wazazi na ndugu wao huko nyuma ndio watakutengeneza tatizo hamuagi mnapoenda miji ya watu, hakuna aliekuuliza umeaga kwenu?Mkuu umesema kweli yani huku uchawi ndo umetawala hata wavuvi wananiambia nije nimejipanga huku.