Nahisi sijamuelewa mke wangu, nirudi nyumbani?

Nahisi sijamuelewa mke wangu, nirudi nyumbani?

Dah mapenzi yanaendesha dunia, vip wakati unamuoa ulimkuta na bikra?
 
mimi nasubiria tuu mrejesho hapo utakaporudi home baada ya kutoka kazini alafu ukaomba mchezo wife aseme "nmechoka sana, leo sijisikii kabisa.. au umlazimishe alaf akaupe ukute ameshakuwa bwawa tofaut na ulivyomuacha asubuhi"
😀😀😀
 
Imebidi nicheke,samahani kama ntakua nimekukera fanya kazi mkuu huwezi kumlinda mwanamke zaidi utajitia BP isokua ya lazima, mambo yachukulie ya kawaida na kwamfano hata ukienda na ukimkuta hayupo au ndio amerudi nyumbani utafanya nini utajiuliza mengi na utakua huna amani unapokua kazini sijui anafanya nini sijui yuko na nanani? yote ya nini hayo kama unataka kumjua usipaparike kwa maneno na wala hilo neno alokujibu usichukulie ndio jambo kubwa sana kama unataka kumjua fanya uchunguzi pole pole ukifanya papara utamuamsha....
umeongea vizuri sana.
 
Mi Niliwahi Kuambiwa Shahawa Zako Ni Kali. Tena Wanawake Wawili Tofauti Ambao Kwa Nyakati Tofauti Walikuwa Wapenzi Wangu. Huwa Najiuliza Hadi Leo Walikuwa Wanamaanisha Nini. Sasa Mleta Mada Nakufundisha Kitu. Muulize Wakati Mko Uchi Na Unachezea Hivyo Vinywele. Kwani Ulionekana Kituko Kama Ulivyohofia? Jibu Utalipata
 
umekosea we ungemuliza hapohapo utaonekana kituko na nani huku ukiwa serious,km ana madubwana yake huko ungemsoma tu jinc anavyhamaki, lakin kukaa tu kazin na kutokwa machozi hiyo wala haisaidii kitu braza, la msing jua kumchallenge mkeo kwe vitu km hvyo then unaangalia reaction,km anakuheshimu af kuna vitu vya ajabu vinaendelea utaona tu reaction yake inavyokua
 
Kinachouma hata sio kuondoka nayo, kinachoumiza ni ile kuwaza tu yani vilee vilio ooh baby you are my sweet zombie analiliwa mwingine, vile vibuno kama feni mbovu anapewa mwingine, ile mi style mi ekotike anapewa mwingine, vile vibao pwaa pwaa anapiga mwingine oooshhh
Jamaa angu kimbia nyumbani kimbia haraka
Duuuuuuuh! na ww una maneno!!!!!!! unasababisha zakari langu likumbuke mengi.
 
Hongereni aisee kwa utaratibu wenu mliojiwekea wa kuweka mazingira ya sehemu nyeti kwa usafi .
Wengine ratiba zao mpaka tangazo la serikalo
 
Habari wakuu,

Nimefika kazini mapema leo kama kawaida yangu, ili nipate kama nusu saa ya kupumzika na kutafakari na kupangilia kazi zangu za siku nzima...

Sasa nikiwa katika kutafakari kuna jambo nimelikumbuka limenichanganya kidogo....

Huwa tuna kawaida ya kila weekends mimi na mke wangu kufanyiana usafi ikiwemo kunyoana nywele za chini na makwapani. Huwa tunafanya hivi weekends...

Sasa imepita kama wiki 3 nilikuwa busy sana sikumnyoa. Sasa jana usiku nimetoka kazini akaning'ang'ania nimnyoe na hakutaka kabisa kusubiri weekend. Mzee mzima nikachukua kinyoleo nikaanza kazi huku namtania tania na kumtekenyaa hapa na pale...

Sasa kinachonichanganya ni hiki. Wakati namyoa nikabakisha vinywele flani nikamtania kuwa hivi tuviache nitamalizia weekend. Akanijibu..

"Mmmh malizia bana si nitaonekana kituko mie"

Nikacheka nikammalizia, tukaoga tukalaa. .Sasa wakati natafakari mambo yangu hapa job ndo nikaimbuka ile statement yake.

"Mmmh malizia bana si nitaonekana kituko mie"

Hivi sijui alimaanisha nini...ataonekana kituko na nani?

Mbaya zaidi nampigia hapatikani na nimeondoka simu yake ina chaji full maana alitumia chaja yangu usiku mzima...

Sijui niombe ruhusa naumwa nirudi nyumbani?

Au shetani tu ananiletea mawazo mabaya?

Hivi inawezekana kweli mke wangu akawa ana.......

Hapa naandika huku machozi yananilenga lenga.

Embu nipeni ushauri jamani
Preta kama ungemkubali jamaa huyu ungekuwa mke wa pili.
Hauko mwenyewe labda?
 
Back
Top Bottom