Nahisi sijamuelewa mke wangu, nirudi nyumbani?

duh.. labda kuna anaemtinda..!!
 
Weweee rudi home fasta, kama hayupo akirudi tu kabla ya salamu pima oil ujue kama katoka kumuonesha mtu kiduku ulichokinyoa wewe
Kina mama wa siku hizi wajanja mno anaweza toka kufanya yake na usikgundue chochote utajifanya unakagua matokeo yake ndani ya dki 5 tu na wewe umeshazama ndani ukitoka ni kujichekesha chekesha tu...Wanaume tuna kazi sana.
 
Ila usiwaze mkuu atapiga na kukuachia hawezi kuondoka nayo..
Kinachouma hata sio kuondoka nayo, kinachoumiza ni ile kuwaza tu yani vilee vilio ooh baby you are my sweet zombie analiliwa mwingine, vile vibuno kama feni mbovu anapewa mwingine, ile mi style mi ekotike anapewa mwingine, vile vibao pwaa pwaa anapiga mwingine oooshhh
Jamaa angu kimbia nyumbani kimbia haraka
 
Teh Teh! Sasa na hayo maneno ndo anazidi kupata mawazo
 
Huyo anaendwa kutafunwa..Btw Kosa sio kutenda kosa bali kurudia kosa..Kwa leo mwache tu agongwe ila akirudia tena inabidi tuchukue hatua..We endelea na kazi tu mkuu kwa amani
 
Kinachouma hata sio kuondoka nayo, kinachoumiza ni ile kuwaza tu yani vilee vilio ooh baby you are my sweet zombie analiliwa mwingine, vile vibuno kama feni mbovu anapewa mwingine, ile mi style mi ekotike anapewa mwingine, vile vibao pwaa pwaa anapiga mwingine oooshhh
Jamaa angu kimbia nyumbani kimbia haraka

We una roho mbaya sana
 
Kina mama wa siku hizi wajanja mno anaweza toka kufanya yake na usikgundue chochote utajifanya unakagua matokeo yake ndani ya dki 5 tu na wewe umeshazama ndani ukitoka ni kujichekesha chekesha tu...Wanaume tuna kazi sana.
Labda kama sio expert wa papuchi lazma uijue, kama imepigwa na dawa ya penzi inabaki na harufu ya dawa, kama imepigwa hivo hivo inakuwa na dawasco dawasco
 
Kuna terminology umezitumia zimeniacha. . . Em nifundishe namna ya kukagua kwa kiswahili
 
Mkuu rudi haraka sana mkeo ashawasili eneo la machinjo
 
Huyo anaendwa kutafunwa..Btw Kosa sio kutenda kosa bali kurudia kosa..Kwa leo mwache tu agongwe ila akirudia tena inabidi tuchukue hatua..We endelea na kazi tu mkuu kwa amani
Huu ushauri sio,bora aende kule sahivi jamaa anatafuta cha pili
 
Kinachouma hata sio kuondoka nayo, kinachoumiza ni ile kuwaza tu yani vilee vilio ooh baby you are my sweet zombie analiliwa mwingine, vile vibuno kama feni mbovu anapewa mwingine, ile mi style mi ekotike anapewa mwingine, vile vibao pwaa pwaa anapiga mwingine oooshhh
Jamaa angu kimbia nyumbani kimbia haraka

Hahahaha....

sometimes hua nawaza sijui ufanye nini ili usipigiwe unaweza ukawa na power ya kutosha sio kibamia na unapiga goal za mafungu yaan 3 ndio 1 hahaha ukienda 6 hapo ndio 2 na ufundi wa kutosha mpaka hizo za kunyoana na bado "UKAPIGIWA TU"

Aaaaaagrrr nyie sijui mpoje tu kwa kweli!
 
Eti sie tukoje, huwa tunajipiga wenyewe we vepe 😛
 
Labda kama sio expert wa papuchi lazma uijue, kama imepigwa na dawa ya penzi inabaki na harufu ya dawa, kama imepigwa hivo hivo inakuwa na dawasco dawasco
OK ila nilisikia akikamuliwa ndimu baada ya kutoka kwenye game dawasco yote kwishney yaani kitu inarudi mpya.
 
Back
Top Bottom