Unataka kubadilika au kuendelea na hizo tabia......naona umeeleza tu!
usijali hata wanawake ní watu kama wewe.
Nataka kuacha..Endelea na hizo tabia za kike!
Bado Sheria haija pitishwa..Subiri kuolewa basi.
As long as na wewe uko tayari kumfanyia hay mwenzi wako, it's ok. Ila taratibu tu usage ukaanza kudeka kwa wanaume wenzio, hapo itakuwa namnaganivipi flani hivi
Sioni kama kuna ubaya wowote kwani kuna baadhi ya wanawake pia wana tabia za Kiume...
Ni kwa Mpenz wangu tu!...,Eeh! enndelea...ha ha ha ha, angalau umejitambua.
Vipi, hata ukiwa na wanamme unataka kudeka, kupewa zawadi na kusifiwa?
Afu ntaendelea . . .