Natumaini upo vizuri Mimi kijana wa miaka 29 sasa Nina mke na watoto watatu,,katika kipindi Cha nyuma mwaka 2019 nilipatwa na matatizo ya afya ya akili sababu ilikuwa kutokana na msongo wa mawazo na nahisi kulikuwa na chembe za tatizo la akili toka nazaliwa ila sikujua mpaka nilivyotumia bangi na kutriger tatizo la akili moja Kwa moja Kwa kujitokeza,,
I'm a advance school graduate,,but my professional ni truck driver na ni mtanzania nilitamani sana kufanya kazi nje ya tanzania I mean kwenye nchi zinazolipa vizuri lakini hofu inakuja kutokana na Hali yangu ya afya ya akili niliopata kozi Toka nimepata janga hilo 2019 sijawahi acha dawa na natumia dawa mpaka hivi leo so sijui policy za mental issues zipo vipi duniani ila Kwa upande wa Tanzania watu wenye tatizo la afya ya akili wanadharauliwa sana....
Mimi ni kijana mpambanaji na nategemewa na familia na ndugu na jamaa nimejaribu kutafuta kazi za ndani kwenye kampuni kubwa na serikalini ila bado ni changamoto Kwangu nilitaka nikafanye kazi nchi zilizoendelea na zenye payment nzuri so naogopa kulingana na afya yangu kiakili...naweza toboa kutokana na mazingira hasa upatikani wa dawa Kwa nchi tofauti sijui upoje naingia na wasiwasi