Nahisi nina chembechembe za ugonjwa wa akili toka nazaliwa

Nahisi nina chembechembe za ugonjwa wa akili toka nazaliwa

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
431
Natumaini upo vizuri Mimi kijana wa miaka 29 sasa Nina mke na watoto watatu,,katika kipindi Cha nyuma mwaka 2019 nilipatwa na matatizo ya afya ya akili sababu ilikuwa kutokana na msongo wa mawazo na nahisi kulikuwa na chembe za tatizo la akili toka nazaliwa ila sikujua mpaka nilivyotumia bangi na kutriger tatizo la akili moja Kwa moja Kwa kujitokeza,,

I'm a advance school graduate,,but my professional ni truck driver na ni mtanzania nilitamani sana kufanya kazi nje ya tanzania I mean kwenye nchi zinazolipa vizuri lakini hofu inakuja kutokana na Hali yangu ya afya ya akili niliopata kozi Toka nimepata janga hilo 2019 sijawahi acha dawa na natumia dawa mpaka hivi leo so sijui policy za mental issues zipo vipi duniani ila Kwa upande wa Tanzania watu wenye tatizo la afya ya akili wanadharauliwa sana....

Mimi ni kijana mpambanaji na nategemewa na familia na ndugu na jamaa nimejaribu kutafuta kazi za ndani kwenye kampuni kubwa na serikalini ila bado ni changamoto Kwangu nilitaka nikafanye kazi nchi zilizoendelea na zenye payment nzuri so naogopa kulingana na afya yangu kiakili...naweza toboa kutokana na mazingira hasa upatikani wa dawa Kwa nchi tofauti sijui upoje naingia na wasiwasi
 
Kila mtu ana matatizo ya akili ni suala la muda tuu
 
natumaini upo vizuri Mimi kijana wa miaka 29 sasa Nina mke na watoto watatu,,katika kipindi Cha nyuma mwaka 2019 nilipatwa na matatizo ya afya ya akili sababu ilikuwa kutokana na msongo wa mawazo na nahisi kulikuwa na chembe za tatizo la akili toka nazaliwa ila sikujua mpaka nilivyotumia bangi na kutriger tatizo la akili moja Kwa moja Kwa kujitokeza,,

I'm a advance school graduate,,but my professional ni truck driver na ni mtanzania nilitamani sana kufanya kazi nje ya tanzania I mean kwenye nchi zinazolipa vizuri lakini hofu inakuja kutokana na Hali yangu ya afya ya akili niliopata kozi Toka nimepata janga hilo 2019 sijawahi acha dawa na natumia dawa mpaka hivi leo so sijui policy za mental issues zipo vipi duniani ila Kwa upande wa Tanzania watu wenye tatizo la afya ya akili wanadharauliwa sana....

Mimi ni kijana mpambanaji na nategemewa na familia na ndugu na jamaa nimejaribu kutafuta kazi za ndani kwenye kampuni kubwa na serikalini ila bado ni changamoto Kwangu nilitaka nikafanye kazi nchi zilizoendelea na zenye payment nzuri so naogopa kulingana na afya yangu kiakili...naweza toboa kutokana na mazingira hasa upatikani wa dawa Kwa nchi tofauti sijui upoje naingia na wasiwasi
Pole sana bila shaka hizo dawa zipo kila nchi kwa sababu wagonjwa wa Afya ya Akili wapo kila nchi nenda kapige kazi!!!!!
 
Ngoja wajuzi wake maana hujasema tatizo lako haswa ni nini na ni nchi gani unatamani kwenda. Pengine wanaweza kukupa muongozo vizuri

min -me
 
Kila mtu ana matatizo ya akili ni suala la muda tuu

Si kweli mkuu, kuna kubadilika kwa halo ya kifikra iwe kwa stress au mshtuko. Lakini kuwa na matatizo ya akili kiasi cha kutumia dawa, nadhani hiyo si kawaida.

Ila Mungu amsaidie ili atimize kusudio lake 🙏🏽
 
Kwenye nchi zilizoendelea huwezi pata kazi, unfortunately. Sio mental illness tu ila pia kifafa, chronic BP, bad vision, severe migraines, etc. Umesema "unahisi" unahisi tu au una uhakika? Dawa zinakusaidia? Toka 2019 kuna any reccurrence?
 
Hauko peke yako,
Kwenye kila watu wanne mmoja wapo ana afya ya akili
 
Usiende huko nje, it's a very lonely life. Kama ushwahi kuwa na msongo wa mawazo hapa bongo basi huko nje huo upweke unaweza kukuua kabisa.

Enjoy maisha na familia yako, hao ndio watu wa msingi zaidi. Nothing else matters.
 
kila la kheri mkuuu, ukikosa ushauri unaokusudia tafuta wataalamu
 
Back
Top Bottom