Chukulia tu poa..wengine tairi inapasuka wakiwa kwenye spid 180 wanapona lakini hawaji kuleta huo upuuzi hapa JFAmen, wengine wanataka eti nichukulie poa tu.
tairi tu ndio ujione una bahati kama mtende?
acha woga mtoto wa kiume, mm nshawahi kupata ajali ya basi watu walikufa
nikapona wengine walipoteza viungo vya miili yao, kupasuka tairi ni kitu cha kawaida hasa hizi daladala wanaweka tairi vimeo.
nahisi ww ukija kuendesha gari utakuwa unatembelea spidi ya km 40 kwa saa,
hii sii habari mkuu we bora ungetoa mada ya daladala zetu na usalama wake kwa abiria ukatolea mfano wako wa tairi kupasuka,