Nahisi nina akili nyingi sana za kutengeneza ideas

Akili kama hizo zipeleke kwenye
Financial Markets'. stocks, govt Bonds, shares ,securities
Forex trading
Digital currencies, bitcoin, dogecoin,
Pia kwenye ya technology mfano phone and PC kurepair
Mtaji umesema unanguvu ya ushawishi unaweza fanya fundraising
Utapiga hela ukimbie
forex itamfaa
 
Nataka nikupe just few words uniandikie article yenye maneno 1000+ utaweza.?Ndio nitaamini uweza wako
 
Una idea nyingi sana ila jitahidi kufanya moja ambayo itakutoa na itakuingizia fedha na kuwa miongoni mwa vitu au kitu kinachosaidia wengi
Unaposema umesaidia wengi je wanakulipa?
Ideas zipo nyingi duniani na watu wanapiga hela iwe mpya au inayojirudia ila imeboreshwa na bei ni chini kidogo ya zile za mwanzo
Wapo wengi wanafanikiwa kwa ideas ila kumbuka 99% huwa zinafeli kwenye stage za mwanzo
Kama aliekuja na Idea ya UNTUCKit
Baada ya kuchoka kuchomekea shati kila wakati na baada ya kuchomoa linakuwa limejikunja kunja sana
Hivyo akaamua kuwa na shirts ambazo ni fupi na hauhitaji kuchomekea na ime trend sana kwa sasa na jamaa wanaingiza hela vibaya mno
Mkuu idea moja inaweza kukutoa
Umeelezea idea nyingi sana ila bora ungepambana na baadhi tu za kuingiza kipato cha maana
IMG_6004.jpg
 
Haya maelezo yako ni kama mganga wa jadi. Wale wanaouza miti shamba kila ugonjwa dawa anayo. Sasa ukiangalia huo mlolongo wa mambo unayosema una uwezo nayo Mimi ninayo nusu yako.

Kingine, ni kuwa watu ndio wanaokuone una akili na siyo wewe ujione una akili. Akili kubwa ni ile ya kuweza kuyakabili mazingira ya aina yoyote. Sio eti unatamani kufanya kazi na media kubwa afu umeshindwa kupata connection afu ndio unajiita unaakili.
 
Unafanya shughuli za kutoa ushauri, consultant? Kama ulivyosema una maono hivyo sidhani kama hili ninalokuambia ni geni kichwani mwako.
Kupitia consultation, mfano umesema kuangalia eneo na kubuni biashara inayoendana na eneo, ingiza kipato ili upate pesa na usajili wa kufanya shughuli kubwa zaidi mtandaoni. Hata wazo la manunuzi sokoni ilhali manunuzi yuko nyumbani, bila ya kujiweka mtandaoni, halitatokea.
 
Haya maelezo yako ni kama mganga wa jadi. Wale wanaouza miti shamba kila ugonjwa dawa anayo. Sasa ukiangalia huo mlolongo wa mambo unayosema una uwezo nayo Mimi ninayo nusu yako.

Kingine, ni kuwa watu ndio wanaokuone una akili na siyo wewe ujione una akili. Akili kubwa ni ile ya kuweza kuyakabili mazingira ya aina yoyote. Sio eti unatamani kufanya kazi na media kubwa afu umeshindwa kupata connection afu ndio unajiita unaakili.
Kuna ugonjwa wa akili unamfanya mtu ajione hivyo. Huo ni ugonjwa wa akili na si kingine. Mtu anajisifu ana akili sana, ana ideas nyingi lakini hajafanya chochote cha kuonyesha. Vitu kama media platform kuanzisha sasa hivi ni rahisi sana. Ukiwa na simu/computer unafungua account ya bure kwenye eg Youtube na unaonyesha kipaji chako pale. Lakini badala yake eti anataka aajiriwe kwenye media kubwa direct! Huyo atakayekuajiri kwa sababu umejisifu una akili sana ni nani?
 
Back
Top Bottom