Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

Wakuu salam zenu, nimepatwa na tatizo aisee nashindwa kuelewa je ni uchawi au maradhi ya kawaida.....

Kuna siku nilileta uzi humu jukwaani suala la kuota ndoto ya ajabu kuomuona mtu mweusi na anamacho mekundu ndotoni aise hili jambo lilinitisha sana nikaongeza ibada kwenye maombi ile hali haikunitokea tena....

Sasa jana usiku wakati nimelala nikaota kuna mtu ( kimuonekano ni mmama mnene kiasi ila kavalia vazi jeusi kama kanikin kanisimamia mbele ya kitanda changu upande nilipolala ni kama tunaangalia uso kwa uso mimi nikiwa kitandani nimeegemea mto wakati huyu mtu akiwa kanisimamia mbele yangu.

Wakati naendelea kushanga shanga gafla nikamuona anaanza kurudi nyuma huku akipiga hatua kidogo kidogo yaani kama mtu anavyonyata huku alielekea kwenye kona moja ya ukuta wa chumba...

Alivyofika kwenye ile kona akainama chini then akapotea gafla nikaanza kuhisi mwili mzima unaganzi, kuinuka kitandani nashindwa, kuongea sauti aitoki, nikijaribu kujigeuza napo nashindwa...

Nikabaki kujisemea kimoyoni moyoni " AUDHU'BILLAH. Gafla nikaanza kusikia sauti ya miyonzi masikioni, kadri sauti inavyopungua na ndivyo ile ganzi mwili inapotea. Ufahamu ukarudi huku macho yakiwa yapo wazi ( I means tukio nzima wakati linatokea macho yalikuwa wazi ) sasa sijui ndio ndoto au mauza uza?

Niliogopa sana nikaamua kuwasha taa mpaka kuna kucha taa ya chumbani kwangu ilikuwa inawaka. Nikachukua simu nikaanza kugoogle maana ya tafsiri mbalimbali za ndoto ya namna hii..sikutaka kulala kabisa kwa hofu niliyokuwa nayo. Ilivyofika saa 11 alfajiri nikalala nakuja kuamka saa 5 nahisi baadhi ya viungo vya mwili wangu nahisi ganzi.

Kuanzia kwenye nyayo za miguu. Nikitembea sisikii chochote yaani hakuna hisia zozote zile natembea kama sitembei hii hata nikivaa malapa au viatu nahisi kama sijavaa chochote. Pia kwenye viganja nako pia nahisi ganzi sametimes kushika kikombe cha chai nashindwa kabisa kwa hofu ya kumwaga chai yaani nahisi kama sijashika chochote kitu.

Pia mdomoni napo pia nahisi ganzi kuanzia kwenye ulimi na meno yote yanaganzi....

Je, kwa hali hii wapi naweza kupata msaada wa kitabibu kabla hali haijawa mbaya zaidi.

NATANGULIZA SHUKURANI.
Siyo wanaoamini Bibilia wala Quran.wenye uwezo wa kupambana na Uchawi wa Afrika Nguvu zilizopo Afrika ni kali sana kuliko za Mashariki ya mbali .Ushauri wangu kwako usipoteze muda kwa Imani za kigeni rudi kwenye Imani ya Muafrika halisi Upate tiba za jadi utakuja shukuru .Iman za kigeni ni Panado tu kwenye Ukimwi yaani hazina msaada kabisa ndiyo maana Wanga wanaingia Makanisani na misikitini na wala hawadhuriki ila hawaezi ingia kwenye vilinge vya Imani za kiafrika. Usipoteze muda Uchawi wa Afrika unatolewa na Dawa za Afrika . Hizo imani zao za Kigeni zingekuwa na nguvu wangezificha kama Nyuklia.
 
Hili lina enda kufika mwisho, naenda kulimaliza

Chukua karanga mbichi kama kiganja au zaidi kula, au chukua soda ya pepsi au coca kunywa

Angalia Kama ganzi ina ongezeka au bado iPod pale pale?

Kama ina ongezeka basi hilo ni tatizo la SUmu kuzidi mwilini zina takiwa kupunguzwa

An zina tokana na sababu mbalimbali za kisayansi an ina wezekana kuanzia Kitk uti wa mgongo

Fika hosp upate tiba huku ukiendelea na maombi na Sunna nk
 
Weka chumvi mawe kwny kona ya chumba ujazo wa kiganja,I wish ningekuombea hata kwa simu,kwa damu ya Yesu ,nguvu za giza zinasambaratika
 
Daah pole sana kuna mwanangu anaitwa Abdul....alipigwa na kitu kama chako hicho na wazanzibar lakini daah alipona na anaendelea poa ila it was dark days for him
 
Wakuu salam zenu, nimepatwa na tatizo aisee nashindwa kuelewa je ni uchawi au maradhi ya kawaida.....

Kuna siku nilileta uzi humu jukwaani suala la kuota ndoto ya ajabu kuomuona mtu mweusi na anamacho mekundu ndotoni aise hili jambo lilinitisha sana nikaongeza ibada kwenye maombi ile hali haikunitokea tena....

Sasa jana usiku wakati nimelala nikaota kuna mtu ( kimuonekano ni mmama mnene kiasi ila kavalia vazi jeusi kama kanikin kanisimamia mbele ya kitanda changu upande nilipolala ni kama tunaangalia uso kwa uso mimi nikiwa kitandani nimeegemea mto wakati huyu mtu akiwa kanisimamia mbele yangu.

Wakati naendelea kushanga shanga gafla nikamuona anaanza kurudi nyuma huku akipiga hatua kidogo kidogo yaani kama mtu anavyonyata huku alielekea kwenye kona moja ya ukuta wa chumba...

Alivyofika kwenye ile kona akainama chini then akapotea gafla nikaanza kuhisi mwili mzima unaganzi, kuinuka kitandani nashindwa, kuongea sauti aitoki, nikijaribu kujigeuza napo nashindwa...

Nikabaki kujisemea kimoyoni moyoni " AUDHU'BILLAH. Gafla nikaanza kusikia sauti ya miyonzi masikioni, kadri sauti inavyopungua na ndivyo ile ganzi mwili inapotea. Ufahamu ukarudi huku macho yakiwa yapo wazi ( I means tukio nzima wakati linatokea macho yalikuwa wazi ) sasa sijui ndio ndoto au mauza uza?

Niliogopa sana nikaamua kuwasha taa mpaka kuna kucha taa ya chumbani kwangu ilikuwa inawaka. Nikachukua simu nikaanza kugoogle maana ya tafsiri mbalimbali za ndoto ya namna hii..sikutaka kulala kabisa kwa hofu niliyokuwa nayo. Ilivyofika saa 11 alfajiri nikalala nakuja kuamka saa 5 nahisi baadhi ya viungo vya mwili wangu nahisi ganzi.

Kuanzia kwenye nyayo za miguu. Nikitembea sisikii chochote yaani hakuna hisia zozote zile natembea kama sitembei hii hata nikivaa malapa au viatu nahisi kama sijavaa chochote. Pia kwenye viganja nako pia nahisi ganzi sametimes kushika kikombe cha chai nashindwa kabisa kwa hofu ya kumwaga chai yaani nahisi kama sijashika chochote kitu.

Pia mdomoni napo pia nahisi ganzi kuanzia kwenye ulimi na meno yote yanaganzi....

Je, kwa hali hii wapi naweza kupata msaada wa kitabibu kabla hali haijawa mbaya zaidi.

NATANGULIZA SHUKURANI.
Cheki cholesterol
 
Acha imani za kishirikina nenda Church kama mkristo..... au Msikitini kama Muslim mrudie mungu wako achana na imani potofu🙌🙌🙌🙌
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom