KimpaGhasha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2020
- 327
- 448
Habari zenu wanaJf bila shaka mnaendelea vyemaaa
Niende kwenye maada husika.
Kuna muda nilishawahi kupost uzi hivi unaohusiana na upotezaji kumbukumbu kwa haraka saana.
Nashukuru kuna wadau walinishauri vyema na naendelea kuufuata ushauri wao japo kuna mabadiliko nayaona kwa kiasi flani hivi japo sio saana.
Ila baada ya kueleza hili tatizo pia nilikuwa na tatizo lingine ambalo nalo limekuwa likinisumbua tangia mwaka 2007.
Nalo ni tatizo la wasiwasi/ uoga uliopitiliza huu ugonjwa ni hatari asikuambie mtu, nimepitia shida nyingi saana juu ya huu ugonjwa mpaka nikafikia hatua nikahisi maisha yangu yatakuwa mafupi saana.
Kiufupi nilikuwa sina raha, sina amani, sina uhuru yaaani moyo mda wote unaenda mbio.
Naogopa kila kitu, kila mtu yaani ni shida tupuuu taabu tupu.
Nakumbuka nimesoma fom1 mpaka chuo sina rafiki, sina mtu wakaribu yaani niko mim mwenyew tu namaisha yangu
Hamna cha discussion wala ujinga gani mi mwenyew tu.
Nimeishi maisha yashida saana
Nakumbuka kisa kimoja hivi wakati niko chuo ile presentation
Imefika zamu yangu nataka kupresent mamaaaaaa! Nilitamani kufa, moyo unaenda mbio tumbo linauma viganja vimeloa jasho ninachoongea hakieleweki
Darasa linarindima kelele za vicheko nikasema Mungu nimekosa nini mja wako jamani nadharirka namna hii aaah niliumia sana nilitamani niache chuo haki yanani dah
Mungu alinipa moyo wa subra nikamaliza chuo ila dah nihatari saana
Mbali nahivi visa vyote sa nikaamua nilifikishe kwa wanaJf ila niliwaPM tu wale wenye busara zao nashukuru wakawa wamenishauri namna ya kuondokana na hili tatizo.
Nikafuata ushauri wao
Nikaanza kufanya kama nilivyoambiwa
Nilianza kwenda hospitali mwezi wa nane mwaka huu nikaanza matibabu yaani mpaka leo napost uzi huu nafikiri niko sawa.
Yaani zaidi ya 80% niko vizuri yaani ule woga sinao tena nachangamana na watu nafanya chochote ninachojiskia mbele ya watu.
Napiga storiii hadi raha.
Nashukuru sana wanaJF yaani sikufikiria kama ingefikia muda nikawa hivi.
Nina mengi ya kuzungumza sema tu basi yaani ila shukrani za kipekee ziwaendee wanaJF hawa.
moesy
Zogwale
jacana
Mungu awalipe zaidi nawashukuru saaana