J jacana JF-Expert Member Joined May 24, 2020 Posts 445 Reaction score 436 Aug 10, 2020 #1 Mola awe nanyi wapendwa! Nahisi nimedukuliwa mawasiliano yangu; msaada tafadhali mwenye uelewa mambo ya mtandao, nitaweza vipi kuijua namba inayonifuatilia mawasiliano yangu? Asanteni na usiku mwema
Mola awe nanyi wapendwa! Nahisi nimedukuliwa mawasiliano yangu; msaada tafadhali mwenye uelewa mambo ya mtandao, nitaweza vipi kuijua namba inayonifuatilia mawasiliano yangu? Asanteni na usiku mwema
mushora JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 406 Reaction score 977 Aug 10, 2020 #2 Kwa nini unahisi umedukuliwa? Tupe A,B,C's tujue nasi tukilinde