Nahisi nimeathirika na VVU

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,470
25,390
Wakuu msaada wenu wa kimawazo tafadhari.

Juzi nilikuwa Ambiance sasa bhana kwenye kucheza cheza mziki akaja msichana fulani hivi akaniminya mkono halafu akatangulia mbele na kunipa ishara ya kumfata.

Mimi nilimpotezea lakini yule msichana akarudi tena na kunishika mkono na kunipeleka chobingo kidogo ambapo kuna kigiza giza kidogo (mule mule ndani lakini)

Sasa bana yule msichana ndani hakuvaa cha chupi wala nini alikuwa yupo mtupu kabisa akawa ananisugulia makalio yake kwenye uume wangu kisha anachukua mkono wangu na kunishikisha K yake.

Ila yote hayo sio kama alikuwa anafanya bure bure la hasha nilikuwa namnunulia bia ili azidi kunipa utamu.

Sasa bana wakuu, utamu uliponinogea nikaamua nimchukue yule binti ili tukamalizane naye kitandani.

Bei yake alinichaji elfu 15

elfu 5 gesti, 10 ya kwake

Lakini baada ya kumaliza kufanya naye nilijuta sana yani kwanini nilifanya vile. Roho inaaniuma yani nimenunua UKIMWI kwa elfu 15 na starehe ya dakika 10 inanitesa maisha yangu yote.

Msaada wa kimawazo tafadhari, nimekuwa mtu mwenye mfadhaiko mkubwa mpaka classmates wangu wanashangaa nilivyopoa kwa kuwa sio kawaida yangu na kuwaambia ukweli siwezi abadani asilani.

NB: Ushauri uwe wa kujenga sio dhihaka
 
Nenda ukapime kijana kwa sababu kwanza huna uhakika kama muathirika halafu ukumbuke unaweza kula mgonjwa na usiathirike kuathirika ni hatua kijana. Kapime na ukiwa fresh usizoee tena hako kamchezo kakuokoteza. Na kama umeathirika sio kifo utapate ushauri wa kujenga kwa Daktari
 
Nenda ukapime kijana kwasababu kwanza huna uhakika kama muathirika halafu ukumbuke unaweza kula mgonjwa na usiathirike kuathirika ni hatua kijana. Kapime na ukiwa fresh usizoee tena hako kamchezo kakuokoteza. Na kama umeathirika sio kifo utapats ushauri wa kujenga kwa daktar
Nashukuru mkuu

Ila naogopa mzee akijua
 
Mkuu toa msaada wa kujenga mkuu sio kukejeri
Kamilisha uzi wako kwa kuweka taarifa muhimu , i.e hukutumia kinga, alikung'ata, ulichubuka n.k Unaandika bila sababu ya kuandika?

Pole sana pia kwa kujikwaa na kuumia kidole ukiwa unaenda kuiba.
 
PEP stands for post-exposureprophylaxis. It means taking antiretroviral medicines (ART)after being potentiallyexposed to HIV to prevent becoming infected. PEP must be started within 72 hoursafter a recent possibleexposure to HIV, but the sooner you start PEP, the better. Every hour counts.
 
Back
Top Bottom