Nahisi nimeandikiwa kushindwa(looser) hip ndio destiny yangu. Najikubali kwa hilo

Anza kushukuru kwa ulivyo navyo, alafu omba kwa Mambo Bora zaidi. Baraka zinakuja unaposhukuru. Shukrani haimaaniishi umeridhika Bali una imani na mtoaji.

Fikiria watu wengi ambao wako 30s na hawajabahatika hata kumiliki ghetto lao wenyewe, fikiria hata ungeipata hivyo vitu unavyohitaj Kama sio uzima na afya nzuri vingekupa furaha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kijana mwenye miaka 30's hivi. Nina elimu ya uzamili. Pia Ni mfanyakaz wa serikali. Ktk maisha nimepitia vitu vingi sana pmoja ya kuwa Ni yatima nimepambna sana lakn nahis sijaandikiwa kuwa mshindi.

1. Nilivyomaliza degrii ya Kwanza tu nikaajiriwa nikaamua kujiendeleza nikapata digrii ya pili nikiwa na miaka 26.

2. Nikarud kazin nikapiga kazi Kuna kipindi wenzangu tuliomaliza nao walipandishwa daraja me nikaachwa kuja kuuliza wananambia kuwa nilisahulika.

3. Kuna kipindi niliomba hela ya likizo nikaweka viambatanisho vyote kuja kulipwa nikapewa hela ya kwangu tu kuuliza wakasema walisahau kuangalia viambatanisho.

4.kuna mwaka mke wangu alijifungua watoto wanne watatu wakafariki mmoja tu akabaki...( Najiuliza mbna wengine wanasurive wote kwangu vipi)

5. Nimetuma maombi mengi ya interview na kuitwa interview nyingi tu bado cjafanikiwa. Ila Kuna moja niliitwa nikapanga kwenda Hadi dkika ya mwisho nikaihairisha.. cha ajabu siku ya interview wananipigia uko wapi mbna uliomba kazi na hujafika nikashindwa kujitetea nikakata simu.

Roho iliniuma sana Kwan niliamini ulikuwa wakati was kufanikiwa lkn nikapuuzia.. nafasi zilikuwa mbili na tuliitwa wawili just imagine. Nyingine nafasi nne tumeitwa watano bado nikashindwa kutoboa.

Huwa nakaa najiuliz hivi nitafanikiwa lini... Kumbuka hiz nafasi mshahara wake Ni kuanzia 2.3m Ila nimekaa nikatafakari naona nimeandikiwa kushindwa and that is my destiny na Wala Sina mpango was kuhangaika Tena kuanzia Sasa. Ntabaki tu na ajira yangu hii ya tamisemi.

Sio Kila mtu ameandikiwa kushinda nimeamini hilo
Soma kitabu cha The secret then start enjoy your Life.

Weng wetu tuna frustrations kwa sababu tunajaribu kukumbuka yaliyopita au kuwaza yajayo where by vyote viwil viko out of our power so mara nying tunapoteza muda mwing kwenye kitu ambacho huwez kukibadilisha.

So best way ni kufanya vitu unavyoviweza at a time and focus on what you want

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ya kwakovnivya kitito sana
Just imagine
At the age of 13 yes I lost my mommy
My old brother he was 14 yrs old
But still I passed my form four exams
At the age of 20 I lost my Father
Nlikuwa nimemaliza kidato cha sita nkaomba mkop kwa ajili ya chuo kikukuu nkakoksa nkambiwa its non priority course
Nkaamua kusoma diploma pia hats dip nkakosa ada nkasoma kW kunga unga tu
Nkaapata ajira serekalini njapangiwa to the worthless region ever niliishi kwa tabu saana
Nkaowa mwanamke kichaa bila kujua nkazaa nae mtot mmoja Wa kiume at the same time I used to have a loan of 9ml.
Also she run away with my money that is used to run our small business es
Nkapiga moyo konde maisha yakaendelea nkatemana nae nkaowa mwanamke mwingine,
What do you think about that?don't you deserve to blame about what you have right now!

Sent using Jamii Forums mobile app

Daaah pole sana mzee, jamaa anapaswa kushukuru Mungu kwa hicho alicho nacho. Binafs ninayo mengi ya kusimulia ila nabaki namshukuru Mungu haya kwa ajira hii niliyonayo.

Happy dude
 
Soma huu wimbo

PEOPLE ALSO SEARCH FOR

On a warm summer's eve
On a train bound for nowhere
I met up with the gambler
We were both too tired to sleep
So we took turns a-starin'
Out the window at the darkness
The boredom overtook us,
And he began to speak

He said, "Son, I've made a life
Out of readin' people's faces
Knowin' what the cards were
By the way they held their eyes
So if you don't mind me sayin'
I can see you're out of aces
For a taste of your whiskey
I'll give you some advice"

So I handed him my bottle
And he drank down my last swallow
Then he bummed a cigarette
And asked me for a light
And the night got deathly quiet
And his faced lost all expression
He said, "If you're gonna play the game, boy
You gotta learn to play it right

You've got to know when to hold 'em
Know when to fold 'em
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done

Every gambler knows
That the secret to survivin'
Is knowin' what to throw away
And knowin' what to keep
'Cause every hand's a winner
And every hand's a loser
And the best that you can hope for is to die
in your sleep

And when he finished speakin'
He turned back toward the window
Crushed out his cigarette
And faded off to sleep
And somewhere in the darkness
The gambler he broke even
But in his final words
I found an ace that I could keep

You've got to know when to hold 'em
Know when to fold 'em
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done

You've got to know when to hold 'em (when to hold 'em)
Know when to fold 'em (when to fold 'em)
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done

You've got to know when to hold 'em
Know when to fold 'em
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done

Sent using Jamii Forums mobile app
i think i too, picked an ace here! shukrani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kijana mwenye miaka 30's hivi. Nina elimu ya uzamili. Pia Ni mfanyakaz wa serikali. Ktk maisha nimepitia vitu vingi sana pmoja ya kuwa Ni yatima nimepambna sana lakn nahis sijaandikiwa kuwa mshindi.

1. Nilivyomaliza degrii ya Kwanza tu nikaajiriwa nikaamua kujiendeleza nikapata digrii ya pili nikiwa na miaka 26.

2. Nikarud kazin nikapiga kazi Kuna kipindi wenzangu tuliomaliza nao walipandishwa daraja me nikaachwa kuja kuuliza wananambia kuwa nilisahulika.

3. Kuna kipindi niliomba hela ya likizo nikaweka viambatanisho vyote kuja kulipwa nikapewa hela ya kwangu tu kuuliza wakasema walisahau kuangalia viambatanisho.

4.kuna mwaka mke wangu alijifungua watoto wanne watatu wakafariki mmoja tu akabaki...( Najiuliza mbna wengine wanasurive wote kwangu vipi)

5. Nimetuma maombi mengi ya interview na kuitwa interview nyingi tu bado cjafanikiwa. Ila Kuna moja niliitwa nikapanga kwenda Hadi dkika ya mwisho nikaihairisha.. cha ajabu siku ya interview wananipigia uko wapi mbna uliomba kazi na hujafika nikashindwa kujitetea nikakata simu.

Roho iliniuma sana Kwan niliamini ulikuwa wakati was kufanikiwa lkn nikapuuzia.. nafasi zilikuwa mbili na tuliitwa wawili just imagine. Nyingine nafasi nne tumeitwa watano bado nikashindwa kutoboa.

Huwa nakaa najiuliz hivi nitafanikiwa lini... Kumbuka hiz nafasi mshahara wake Ni kuanzia 2.3m Ila nimekaa nikatafakari naona nimeandikiwa kushindwa and that is my destiny na Wala Sina mpango was kuhangaika Tena kuanzia Sasa. Ntabaki tu na ajira yangu hii ya tamisemi.

Sio Kila mtu ameandikiwa kushinda nimeamini hilo
It's JUST A MOMENT BROTHER STILL GOD HAS A PURPOSE ,,,, KEEP GOING NEVER GIVE UP.... IF your believer (ISAIAH 43;1-2)"But now, this is what the LORD says-- he who created you, O Jacob, he who formed you, O Israel: "Fear not, for I have redeemed you; I have summoned you by name; you are mine .When you pass through the waters, I will be with you; and when you pass through the rivers, they will not sweep over you. When you walk through the fire, you will not be burned; the flames will not set you ablaze''.
 
Ni kijana mwenye miaka 30's hivi. Nina elimu ya uzamili. Pia Ni mfanyakaz wa serikali. Ktk maisha nimepitia vitu vingi sana pmoja ya kuwa Ni yatima nimepambna sana lakn nahis sijaandikiwa kuwa mshindi.

1. Nilivyomaliza degrii ya Kwanza tu nikaajiriwa nikaamua kujiendeleza nikapata digrii ya pili nikiwa na miaka 26.

2. Nikarud kazin nikapiga kazi Kuna kipindi wenzangu tuliomaliza nao walipandishwa daraja me nikaachwa kuja kuuliza wananambia kuwa nilisahulika.

3. Kuna kipindi niliomba hela ya likizo nikaweka viambatanisho vyote kuja kulipwa nikapewa hela ya kwangu tu kuuliza wakasema walisahau kuangalia viambatanisho.

4.kuna mwaka mke wangu alijifungua watoto wanne watatu wakafariki mmoja tu akabaki...( Najiuliza mbna wengine wanasurive wote kwangu vipi)

5. Nimetuma maombi mengi ya interview na kuitwa interview nyingi tu bado cjafanikiwa. Ila Kuna moja niliitwa nikapanga kwenda Hadi dkika ya mwisho nikaihairisha.. cha ajabu siku ya interview wananipigia uko wapi mbna uliomba kazi na hujafika nikashindwa kujitetea nikakata simu.

Roho iliniuma sana Kwan niliamini ulikuwa wakati was kufanikiwa lkn nikapuuzia.. nafasi zilikuwa mbili na tuliitwa wawili just imagine. Nyingine nafasi nne tumeitwa watano bado nikashindwa kutoboa.

Huwa nakaa najiuliz hivi nitafanikiwa lini... Kumbuka hiz nafasi mshahara wake Ni kuanzia 2.3m Ila nimekaa nikatafakari naona nimeandikiwa kushindwa and that is my destiny na Wala Sina mpango was kuhangaika Tena kuanzia Sasa. Ntabaki tu na ajira yangu hii ya tamisemi.

Sio Kila mtu ameandikiwa kushinda nimeamini hilo

Nimegundua

Una akili nzuri tu ya kikazi ile una very low emotional intelligence!

Hiyo ni akili ya kujiendesha mwenyewe kama mwanadamu,ya kusoma wanadamu wengine na jinsi ya kufanya nao kazi

Vitu kama kuchelewa mahali,kuahirisha vitu,kutokua imara katika madai yako,etc ndio low emotional intelligence yenyewe!
 
Mi niliacha kazi serikalini.
Unasoma wewe,kazi unafanya wewe kama mbwa koko,anapandishwa mwingine mshahara.Wewe unabaki na sifa tu za kusoma.

Nimefanya miaka 14 sijawahi kulipwa pesa ya likizo hata senti tano.Ukifuatilia utaambiwa fanya kazi acha majungu.

Kuna wakati unaona kabisa sio hali ya kawaida bali kuna nguvu zisizo za kawaida zilihusika.Ndio maana kwa watu kama mimi watakuwa wanashukuru sana ujio wa Rais kama Magufuli.Maana hakuna ujinga ujinga kama wa zamani watu wanaogopa kuwajibishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipotaja jiwe tu......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya watu wanataka kuwa washindi mwezi mzima au mwaka mzima, achana na malengo ya mwezi mwaka utachoka kabla uaanza, weka malengo ya kuwa mshindi leo tu na wala sio kesho leo tu uwe mshindi, hakikisha outstanding performance katika kila unachokifanya leo na hakikisha inakuwa vigumu kusaulika kwa mafanikio yako ya performance ya leo, ukiona unasaulika maana uwezo huna na uawajaweza kuwafanya wasikusahau, kusoma sana haina maana execution yako iko level ya juu, pambana uonyeshe uwezo wako kwenye execution sio makaratasi yanayoitwa certificate. Uwe kwenye utendaji wa hali ya juu leo tu, ndio utakapoweza kuwa mshindi, kumbuka lengo ni moja tu kumtumikia Mungu na mwanadamu.
 
Back
Top Bottom