Nahisi nimeandikiwa kushindwa(looser) hip ndio destiny yangu. Najikubali kwa hilo

Mkuu nikikupa historia yangu huu Uzi wako utaufuta na hutorudia tena kusema maneno yako ya kushindwa, Mimi nmepitia magumu na bado napitia magumu lakin sijawahi fikiri maneno yako.... Naamini wakati wangu haujafika Mungu kuna jambo ameniandalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta movie ya Will Smith inaitwa Pursuit of Happiness. Jamaa alipambana sana mpaka mke akamkimbia na kumuachia mtoto, gari inakamatwa na polisi anashindwa kukomboa, kodi ina mshinda mwisho wa siku jamaa kaja kufanikiwa baada ya muda mrefu kupita ila hakukata tamaa.
 
Kuna watu wanishi maisha ya raha hapa duniani kumbe wengine tunateseka na maisha ila hatujui tu kwa sababu moyo ushakata ushakuwa sugu na tunaimani isiyo na kifani kuwa kesho tutapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ya kwakovnivya kitito sana
Just imagine
At the age of 13 yes I lost my mommy
My old brother he was 14 yrs old
But still I passed my form four exams
At the age of 20 I lost my Father
Nlikuwa nimemaliza kidato cha sita nkaomba mkop kwa ajili ya chuo kikukuu nkakoksa nkambiwa its non priority course
Nkaamua kusoma diploma pia hats dip nkakosa ada nkasoma kW kunga unga tu
Nkaapata ajira serekalini njapangiwa to the worthless region ever niliishi kwa tabu saana
Nkaowa mwanamke kichaa bila kujua nkazaa nae mtot mmoja Wa kiume at the same time I used to have a loan of 9ml.
Also she run away with my money that is used to run our small business es
Nkapiga moyo konde maisha yakaendelea nkatemana nae nkaowa mwanamke mwingine,
What do you think about that?don't you deserve to blame about what you have right now!



Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mkeo ndo alikimbia na ile pesa? Maana kwenye ule uzi ulituambia kuwa ni dada yako..au tuweke ushahidi?
 
Muda wako bado,ukifika utanyanyuka tu.Kwa kuwa una kazi,unaweza kubuni biashara yenye tija ukakopa benki maisha yakaendelea. Pia ukikutana na changamoto kali za maisha na ukatakiwa uzitatue wewe mwenyewe...jua ndio ukubwa huo. Pia ukiona changudoa anajiuza...jua hana kitu kingine cha kuuza zaidi ya mwili wake.Hayo ndiyo maisha.
 
Ni kijana mwenye miaka 30's hivi. Nina elimu ya uzamili. Pia Ni mfanyakaz wa serikali. Ktk maisha nimepitia vitu vingi sana pmoja ya kuwa Ni yatima nimepambna sana lakn nahis sijaandikiwa kuwa mshindi.

1. Nilivyomaliza degrii ya Kwanza tu nikaajiriwa nikaamua kujiendeleza nikapata digrii ya pili nikiwa na miaka 26.

2. Nikarud kazin nikapiga kazi Kuna kipindi wenzangu tuliomaliza nao walipandishwa daraja me nikaachwa kuja kuuliza wananambia kuwa nilisahulika.

3. Kuna kipindi niliomba hela ya likizo nikaweka viambatanisho vyote kuja kulipwa nikapewa hela ya kwangu tu kuuliza wakasema walisahau kuangalia viambatanisho.

4.kuna mwaka mke wangu alijifungua watoto wanne watatu wakafariki mmoja tu akabaki...( Najiuliza mbna wengine wanasurive wote kwangu vipi)

5. Nimetuma maombi mengi ya interview na kuitwa interview nyingi tu bado cjafanikiwa. Ila Kuna moja niliitwa nikapanga kwenda Hadi dkika ya mwisho nikaihairisha.. cha ajabu siku ya interview wananipigia uko wapi mbna uliomba kazi na hujafika nikashindwa kujitetea nikakata simu.

Roho iliniuma sana Kwan niliamini ulikuwa wakati was kufanikiwa lkn nikapuuzia.. nafasi zilikuwa mbili na tuliitwa wawili just imagine. Nyingine nafasi nne tumeitwa watano bado nikashindwa kutoboa.

Huwa nakaa najiuliz hivi nitafanikiwa lini... Kumbuka hiz nafasi mshahara wake Ni kuanzia 2.3m Ila nimekaa nikatafakari naona nimeandikiwa kushindwa and that is my destiny na Wala Sina mpango was kuhangaika Tena kuanzia Sasa. Ntabaki tu na ajira yangu hii ya tamisemi.

Sio Kila mtu ameandikiwa kushinda nimeamini hilo

Hakuna mtu aliyeandikiwa kushindwa, kila mtu ameandikiwa ku-win. Mimi nakushangaa kwa nini hujatambua sababu zinazopelekea kushindwa kwako na wakati wewe mwenyewe umesema ulikuwa unapotezea baadhi ya opportunities; kumbe tatizo lako ni NEGLIGENCE!
 
Haaa haaaaa 😀 Naona huo ni mkopo mwingine, huo alimpa dada na huo mwingine alimpa mke wake, Haaa haaaaa 😀 lazima adate mkuu
 
Dah mwanang una mishe kabisa afu unalalamika? Kuna wengine tupo street tu na degree zetu tunaunga unga maisha yasonge...

Anakwama sehemu ndogo sana man..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu sana aisee ana uhakika wa milo mitatu kwa siku, ana master, ana dhaminika kwenye mikopo kutoka mabenkini, anachangia kodi, na bado anajikusanyia viinua mgongo kama milioni 100 au pungufu pindi akiistafu. Ashukuru kwa lolote watu tuna miaka 5 and still counting bila ajira huku nje
 
Ukitoa hiyo ya watoto nyingine hizo unajitabiria tu mkuu,yani bado unakazi serikalini af unajiita looser hahaha ngoja upoteze na hiyo ndo utaelewa,nina anko wangu amepambana miaka yote hola mpaka akarudi kusoma ualimu tena wakati ana miaka 35+ now ndo amepata kazi ya ualimu akiwa na 37 hapo ni shule ya msingi.Acha kukufuru mkuu.
 
Back
Top Bottom