Nahisi nilimegewa


Umeonae? sasa unaanza kuelewa. Lini utatangaza matokeo ya zile kura za maoni ya INFIDELITY? (Sore ofu topiki)
 
Mkuu hapo kwenye red umeniacha mbavu sina.
 
Sis hapa umenena. Nimekupa na thanx juu.
The Following 2 Users Say Thank You to Noname For This Useful Post:

Da Womanizer (Today)
 
Du! hii lugha imenikumbusha mbali sana aisee LOL
 
asingelimpeleka mtoto kumkuona baba.....................baba angefuata mwanawe kumuona na ingelilazimu kuwa mama ndio ende basi angefikia angalau hoteli au kwa rafiki wa kike ............hiyo ya kufikia kwa njemba, hata mie nafikiri walimegana but inaweza ikawa vyengine.

wewe kama unapenda fumba macho tu
 
hihihihihiiiiiiiiiiiiii, sicheki kwa furaha, ila ni cheko ya kukuhurumia! Wewe "zoba"! Kaka mtalaka huwa hatongozwi, yaani walijilia raha zao mpaka basi!

Brasil mdogo wangu, akili ya kuambiwa changanya na yako.......then utapata jibu!!!
 
Brasil mdogo wangu, akili ya kuambiwa changanya na yako.......then utapata jibu!!!

Ndio maana nakupenda Mama Mdogo. Una hekima sana. Hukurupukagi tu na kutoa maoni yako. Usiwe unapotea sana basi.
 
Brazil.............wanawake wanapenda kushikiwa akili kwa kiasi fulani.........usimpe uhuru wa kiasi hicho. wewe mwanamke anakwambia anaenda kwa mwanamme na wewe unamkubalia?

mwanamke alikuwa anataka umakataze apate kujisifia kwa wanawake wenziwe Brazil anajali, ana wivu.............shtuka baba
 

useless man....mimba alishindwa kuilea hata mtoto kumwona tena apelekewe.???

huyo mwanamke wako alikuwa na kiranga tu na huo ex wako na nadiriki kuhitimisha kuwa 'walifanya'!!!!
 

Gaijin Nashukuru kwa hili angalizo..... mi ndio maana waifu akiniambia anaenda hata msibani lazima aambatane na escort!!
 
useless man....mimba alishindwa kuilea hata mtoto kumwona tena apelekewe.???

huyo mwanamke wako alikuwa na kiranga tu na huo ex wako na nadiriki kuhitimisha kuwa 'walifanya'!!!!
hili hitimisho si mchezo.
 
Listen people. Hindsight is almost always 20/20 and now in retrospect, I think I let my guards down and fell in love. This girl had me intoxicated. I liked her style - the way she dressed, the way she smelled, the way she talked, the way she carried herself, and more. I couldn't help myself but fall for her. She gave me all her loving and I gave her mine. She wanted the title to be my girl and I wanted the title to be her man. So we let into each other's world.

We kicked it like best friends. But let me tell you. Love can be so blinding that wrong can seem right and right can seem wrong. At the end of the day I had to think with my head and did what I had to do. I cut her loose. You live and learn, so they say.
 
Reactions: kui
Chrispin

JF Premium Member


Better to have a plain wife for yourself than a beautiful wife for others.

Signature noted sir
 
hili hitimisho si mchezo.

nimesoma maelezo ya mlalamikaji tu bahati mabaya mlalamikiwa amekataa kujitetea sasa nisemeje!!!!

Lakini Carmel hapo unadhani kulibaki kitu.......???
 

Youy said well broda, after all love is all we need. if you love her that much and she feels the same, why not forget all these feelings and move on with her? Its not like she did a lifetime crime.
 
Pole sana Nyani. Inauma sana hasa kama binti huyu ulikusudia kumvalisha pete. Kwa jinsi ulielezea uzuri wake sidhani kama jamaa hakutinga kwenye maeneo nyeti. Kama alilala sebuleni basi njemba naye alihamia sebuleni. Ningekuwa mimi katika hali kama hii ningefanya nini? Ningekataa kata kata binti kumpeleka mtoto kwa jamaa ningejaribu sana kumshawishi ili jamaa aje kumtembelea mtoto hii ingepunguza kwa kiasi fulani uwezekano wa kutinga kwenye maeneo nyeti.

Niliwahi kuwemo katika similar situation na binti mmoja mrembo sana (lakini hakukuwa na mtoto)tulikuwa kama chanda na pete na huyu nilidhani angekuwa ni wangu wa milele lakini yakatokea yaliyotekea basi nikaamua kushika hamsini zangu.
 
useless man....mimba alishindwa kuilea hata mtoto kumwona tena apelekewe.???

Nimesema kwa sababu zilizokuwa juu ya uwezo wake hakuweza kufunga safari kwenda kumwona mtoto wake. Na siyo kwamba alikuwa hatoi mchango wa kifedha kwa mwanae. Alikuwa anatoa tena bila hata ya kushurutishwa na mahakama. Hakumkataa mtoto wake. Ni kwamba wao wawili tu uhusiano wao haukufanikiwa. Na mwisho wa siku kwa mama yoyote kumnyima baba watoto wake kuwaona wanae si vizuri. Humkomoi yeye zaidi ya kuwanyima watoto fursa ya kumjua baba yao. And each case should be looked at on a case by case basis. You can't apply a one size fits all approach in each and every situation. My situation was very tricky and complicated to say the least. That's why in the end I just to let her go because it wasn't going to work with the way things were.

huyo mwanamke wako alikuwa na kiranga tu na huo ex wako na nadiriki kuhitimisha kuwa 'walifanya'!!!!

Hapo sielewi hata sijui umeongea nini. Huyo mwanamke wangu alikuwa na kiranga? You mean she smashed my hommie Kiranga? What the...???

Na sina shaka hata kidogo kuwa walifanya. Kama nilivyosema, nilizaliwa saa mbili usiku lakini haikuwa jana usiku.
 
nimesoma maelezo ya mlalamikaji tu bahati mabaya mlalamikiwa amekataa kujitetea sasa nisemeje!!!!

Lakini Carmel hapo unadhani kulibaki kitu.......???

Ni ngumu kuamini kwa macho na masikio ya nyama, ila kwa wale waaminio, wenye imani kali kiasi cha kuhamisha milima hayo yote yanawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…