Nahisi naibiwa ,naombeni ushauri

Mkuu piga chini tafuta mwingine huyo amesha kushinda.hata ufanyeje utachapiwa tu na mjini hapa unakuta
Mwanamke hana mabwana watatu mpka 4
 
Mwambie ambrock jamaa afu badisha namba zake za simu kwisha kazi
 
Achana naye .. Usikubali mapenzi yakuumize japo ni vigumu ila huyo mwanamke hakuheshim .. Jikaze kiume mbwage . Tunza heshima yako kaka .. Ukivumilia badae yatakukuta makubwa zaidi ya haya.[nimekusoma kaka]
 

ninavyojua mimi fb wanao-upload photos kila mara ni watoto,samahani kama nimekuvunjia heshima mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…