unamshauri afumbe macho wakati anaibiwa!!??acha kuingia fb. na tumia muda wako mwingi kushinda jf. nadhan itasaidia kutoona hata wakitag-ana.
Hbr wakuu?
Siku moja nilichukua simu ya mpenzi wangu nikakuta mesegi alizokua anachat na jamaa, alikua akimwita mpenzi na majina mengne yalonipa mashaka.
Niliongea na mpenzi wangu akakataa na kusema jamaa ni rafiki ake tu eti wamezoea kuchat vile, pia marafik zake walimtetea sana.
Sikuridhishwa na majibu yale ikabidi nimwambie amwite jamaa, alivyokuja akaeleza kuwa ni marafiki tu na akaomba msamaha kuwa hatorudia, nilimwambia amkome mpnz wng.
Kinachoniumiza zaid hivi karbuni ameanza kumtag mpenzi wangu kila picha anayoeka fb, nimeumia zaidi alipoeka picha ya maandishi iliyoandikwa LINI UTAKUWA WANGU na kumtag mpenzi wangu na dada mwingne.
Napoongea na mpenzi wangu anaomba sana msamaha na kusema atamzuia jamaa hiyo tabia.
Mi sielewi la kufanya ndugu zangu na huyu nampenda sana, naombeni ushauri.
Ahsanteni.
Ukweli mtupu!!!! Halaf mtamuuuuuuuuu!!!Hbr wakuu?
Cku moja nilichukua cm ya mpnz wng nkakuta msg alizokua anachat na jamaa, alikua akimwita mpnz na majina mengne yalonipa mashaka. Niliongea na mpnz wng akakataa na kusema jamaa ni rafik ake tu eti wamezoea kuchat vile, pia marafik zake walimtetea sn. Sikuridhishwa na majibu yale ikabid nimwambie amwite jamaa, alivyokuja akaeleza kuwa ni marafik tu na akaomba msamaha kuwa hatorudia, nilimwambia amkome mpnz wng.
Kinachoniumiza zaid hv karbuni ameanza kumtag mpnz wng kila picha anayoeka fb, nimeumia zaid alipoeka picha ya maandishi iliyoandikwa LINI UTAKUWA WANGU na kumtag mpnz wng na dada mwingne.
Napoongea na mpnz wng anaomba sana msamaha na kusema atamzuia jamaa hiyo tabia. Mi celewi la kufanya ndg zng na huyu nampenda sana, naombeni ushauri. Ahsanteni.
Usirudie tena kushika cm ya mpenz wako