Nahisi mpenzi wangu ameniacha

Nahisi mpenzi wangu ameniacha

mchuziwapweza

Senior Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
107
Reaction score
149
Nahisi mpenzi wangu ameniacha ndugu zangu mwenzenu nimejikuta nipo kwenye wakati mgumu mpenzi wangu kwa sasa amebadilika sana, alizoea kunicall kila asubuhi lakini kwa saivi mambo yamebadilika yupo kimya sana. Nimekaa nikafikilia inawezekana penzi langu lishamchosha, au kwa vile hua nampa penzi mara nyingi ndo imekua tatizo? zile suprise alizokua akinifanyia imebaki stori tu, hata sms ananitxt akijisikia.
Naombeni ushauri wenu nifanyaje
 
Nahisi mpenzi wangu ameniacha! Ndugu zangu mwenzenu nimejikuta nipo kwenye wakati mgumu. Mpenzi wangu kwa sasa amebadilika sana, alizoea kunicall kila asbh lakin kwa saiv mambo yamebadilika yupo kimya sana. Nimekaa nikafikilia inawezekana penzi langu lishamchosha, au kwa vile hua nampa penzi mara nyingi ndo imekua tatizo? Zile suprise alizokua akinifanyia imebaki stor tu, hata sms ananitxt akijisikia.
Naombeni ushauri wenu nifanyaje
"Mapenzi yanarun dunia aseeee"
 
mimi haya mambo ya kunitext kila baada ya nusu saaeti ndo mapenzi yenyew yalishanishindaga siku ukikosa text yake tu eti ushahis umeachwa.

usilielie huyo uliye nae ni wa wote hata akutext kila baada ya sekunde bt tambua ndani ya sekunde hizo anaweza kuwatext wengine (michepko) na hapo ndo ukawaunapofukaa kabisaaaaa kuwa upo peke yako kumbe mpo costa nzima.
 
Nahisi mpenzi wangu ameniacha! Ndugu zangu mwenzenu nimejikuta nipo kwenye wakati mgumu. Mpenzi wangu kwa sasa amebadilika sana, alizoea kunicall kila asbh lakin kwa saiv mambo yamebadilika yupo kimya sana. Nimekaa nikafikilia inawezekana penzi langu lishamchosha, au kwa vile hua nampa penzi mara nyingi ndo imekua tatizo? Zile suprise alizokua akinifanyia imebaki stor tu, hata sms ananitxt akijisikia.
Naombeni ushauri wenu nifanyaje
Kwa mda gani?Mwulize wakati mwingine stress zinaweza mfanya mtu akabadilika.Ongeeni.

Pia, kipindi kama hiki epuka kufanya maamuzi ya haraka ya kuwa na mtu mwingine.Ni hatari.
 
mwambie kabadirika tabia.ukiona anakupuuza jiongeze
 
Na wewe usi mtex kaa kimya tuu atakutafuta mwenyewe
Nahisi mpenzi wangu ameniacha! Ndugu zangu mwenzenu nimejikuta nipo kwenye wakati mgumu. Mpenzi wangu kwa sasa amebadilika sana, alizoea kunicall kila asbh lakin kwa saiv mambo yamebadilika yupo kimya sana. Nimekaa nikafikilia inawezekana penzi langu lishamchosha, au kwa vile hua nampa penzi mara nyingi ndo imekua tatizo? Zile suprise alizokua akinifanyia imebaki stor tu, hata sms ananitxt akijisikia.
Naombeni ushauri wenu nifanyaje
 
ukifatilia mada tofauti tofauti za mtoa mada utagundua ni mwanamke na pia ni mwanaume.
 
Back
Top Bottom