Nahisi mpenzi wangu ameniacha

Nahisi mpenzi wangu ameniacha

huwa inatokea sometimes, kwani kila siku mnaongea nini hadi muwasiliane tuu kila mda, kuna wakati hamna cha kuongea mnabaki kusalimiana tu, so usipanic anza kumuuliza kwanza.
 
wewe unamcall au unamtext kwa kipindi chote hiki ambacho yuko kimya? na kama unafanya hivyo vipi respond ake? na kama hana respond nzuri ushamuuliza nini tatizo? na kama anarespond vizuri ujaachika sema tu sometime wanaume sisi stress zinatufanyanga tusahau wenza wetu coz tunahitaji kuwaga alone zaidi
 
mkuu una mkosi..umepata mwingine wa kukugegeda leo halafu majamboz ajui pole mkuu
 
Kama umeachwa ujue unakasoro;jiulize zaidi ya s,ex una tija gani?
 
pole sana embu tafuta hata biashara uwe unafanya tengeneza maisha yako kwanza kama atarudi poa akikaa kimya sana basi fanya mabo yako ukimwaza ambaye akuwazi mbaya sana utakonda sana embu achana na hzo mambo saiv watu wako bize kama wachina kutafuta hela
 
Back
Top Bottom