safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,192
- 15,875
Hapa kwenye kupotezwa na watu fulani hata mimi huwa nahisi hivyo mkuu.Kweli kabisa mkuu kuna kitu nyuma ya pazia bado binadamu hatuelewi au tunapotezwa na kikundi cha watu walio tayari fahamu siri nyingi za huu ulimwengu
Nadhani kuna connection kubwa kati ya akili zetu zinachowaza na ulimwengu unaotuzunguka.
Kwamba huwenda akili zetu zina uwezo wa kuvuta mazingira ambayo yapo kichwani yakatokea kweli kwa namna ambavyo sisi hatuijui.
So kama mambo yako hivi maana yake kila mtu akijiwazia mambo mazuri na yanatokea maana yake kuna watu hawatonufaika.
Nakisoma kitabu cha "the power of subconscious mind" nikikimaliza nitaleta hapa namna ambavyo nimekielewa ili tukichambue zaidi.
Nahisi kuna pahala tunachezewa sisi kama binadamu.
Kwa nini hizi kanuni hatufundishwi shuleni why ?