grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Nakubali kabisaa....Nahisi alikamata chumvi ya malindi na kunyonya juice ya domo!! Ha ha ha!!! Life Risks!!!
Nakubali kabisaa....Nahisi alikamata chumvi ya malindi na kunyonya juice ya domo!! Ha ha ha!!! Life Risks!!!
Hata mimi sina shaka katika hilomkuu kuna wengine wanapiga na condom akiona utamu unazidi anavua ili aule live live sasa hapo sasa yawezekana alivua ndom katikati ya game
Yani mi husema mwenye kugundua utamu wa papuchi Loo!! ndiye mchawi mkubwa hapa duniani.Wadau ushauri wenu nauhitaji nini nifanye baada ya kula kujamiiana na msichana ambae nimegundua ana V.V.U japokuwa nilitumia mpira sina imani. nlpga miez 6 iliyopita na nmerudia last week wkt huo nilikua cjui nmejua jana
sawa mkuuu tutafanya hivyoKunywa tu kipenzi change miss chagga, si lazima tuwaambie ukweli jamani. Maana hili gonjwa watu wamekuwa wakilalamika eti mimi nilikuwa natumia kinga mbona nimeukwaa?? Kumbe wakasahau walikuwa wanafunika miguu ya motto huku kifua kikiwa wazi, je pneumonia hapa utaepuka?? Ukishaamua kupiga na kinga hakikisha hukutani na sehemu zozote zenye majimaji!!!
Hata mimi sina shaka katika hilo
Hahahahaaaaaaaa tamu eeeehhh?....hongera sana mkuuNilienda uvinza kdgo
Wadau ushauri wenu nauhitaji nini nifanye baada ya kula kujamiiana na msichana ambae nimegundua ana V.V.U japokuwa nilitumia mpira sina imani. nlpga miez 6 iliyopita na nmerudia last week wkt huo nilikua cjui nmejua jana