Nahisi kuuza mechi

Nahisi kuuza mechi

Sule the don

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
52
Reaction score
2
Wadau ushauri wenu nauhitaji nini nifanye baada ya kula kujamiiana na msichana ambae nimegundua ana V.V.U japokuwa nilitumia mpira sina imani. nlpga miez 6 iliyopita na nmerudia last week wkt huo nilikua cjui nmejua jana
 
Wadau ushaur wenu nauhitaji nini nifanye baada ya kula papuch ya gal ambae nimegundua ana v.v.u japokuwa nilitumia sox cna iman

Kapime mara ya kwanza halafu kaa miezi mitatu ukapime tena utapata uhakika



Usizowee kudakia tu kila unaemkuta
 
Pole ila ili upate uhakika zaidi nenda hospitali kapime.
 
Wadau ushaur wenu nauhitaji nini nifanye baada ya kula papuch ya gal ambae nimegundua ana v.v.u japokuwa nilitumia sox cna iman

Uekipima uje uwaelimishe na vijana wengine....nadhani kuna wakati huwa mnasahau kuwa UKIMWI upo
 
Mmmmhhh huyu mbona hajiamini wakati anasema ametumia Kondomu, naanza kuhisi aliichomoa huyu wakati wazungu wanatua kilimanjaro...
 
Wadau ushaur wenu nauhitaji nini nifanye baada ya kula papuch ya gal ambae nimegundua ana v.v.u japokuwa nilitumia sox cna iman

Chumvini na mdomoni uliingia???? Maana soksi wakati huko kwingine hakuna soksi ni kujidanganya!!! Ila kapime tu ila kama hukuingia huko nilikotaja na kama ulivaa soksi na kuivua vizuri basi huna tabu!!! Ila kama uliingia huko kwingine peku na kama kulikuwa na michubuko basi kapime!!! Ila pia kama uliingia huko na kwa bahati hakukuwa na michubuko umepona!!!
 
Wadau ushaur wenu nauhitaji nini nifanye baada ya kula papuch ya gal ambae nimegundua ana v.v.u japokuwa nilitumia sox cna iman

Baada ya miezi 3 kapime, kama upo salama mshukuru Mungu wako na uache UASHERATI
 
Mmmmhhh huyu mbona hajiamini wakati anasema ametumia Kondomu, naanza kuhisi aliichomoa huyu wakati wazungu wanatua kilimanjaro...

mkuu kuna wengine wanapiga na condom akiona utamu unazidi anavua ili aule live live sasa hapo sasa yawezekana alivua ndom katikati ya game
 
Kimbia chooni haraka ukakojoe-sosi Zuma

Inategemea na muda, kuna zile dawa wapewazo wahudumu wa hospital, waweza jaribu.
 
Utamu umekula peke yako, shida unatushirikisha wote!
 
umenifanya nishindwe kunywa maji yangu ya moto

Kunywa tu kipenzi change miss chagga, si lazima tuwaambie ukweli jamani. Maana hili gonjwa watu wamekuwa wakilalamika eti mimi nilikuwa natumia kinga mbona nimeukwaa?? Kumbe wakasahau walikuwa wanafunika miguu ya motto huku kifua kikiwa wazi, je pneumonia hapa utaepuka?? Ukishaamua kupiga na kinga hakikisha hukutani na sehemu zozote zenye majimaji!!!
 
Back
Top Bottom