YesImagine ni mke na ni mama pia...so much shame kuintertain whatever she is entertaining.
AaahNdoa zina siri kubwa sana mkuu,
Kabisa..na likitokea la kutokea hana wa kumlaumuYes
Na inavo onesha hata hajali ilo kwa kuwa yule jamaa haja alo muoa haja kaa stable ki maisha
Huyo mwanake ana ibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Am telling you broKabisa..na likitokea la kutokea hana wa kumlaumu
Mimi ni sis [emoji4] [emoji4]Am telling you bro
Ooh my God! Am sorry i never expected it.Mimi ni sis [emoji4] [emoji4]
Haha.. it's okey. Now you knowOoh my God! Am sorry i never expected it.
Umeongea mambo yam mana sana VV.
Ooh my God! Am sorry i never expected it.
Umeongea mambo yam mana sana VV.
Na mimi nasubiri Wanabodi watoe ushauri,Mimi kuna mmoja Mgeni Mgeni sasa Ameoloteza na Lugha ya Home.Kila asubuhi anatext ,mchana,jioni.Akiwa Ofisi kwake hata nikipita korido labda ninyate na nisiongee ataita au atapiga simu.Amekariri sauti yangu kipindi kifupi sana.Sasa juzi ndiyo kaniacha hoi,nilipita koridoni akaniita nilipoenda nilikuta amerelax kabisa eti joto.Nikamtania nini sijui nikasikia "zaidi ninavyokupenda wewe" nikajibaraguza na kuondoka.Nasubiri ushauri na mimi nikafanyie kaziHabarini Wanajamvi, Mliopo Kwenye Mfungo, Hongereni Kwa Swaumu. Twende Kwenye Mada, Mnamo Mwaka Jana Waliajiriwa Staff Wapya Hapa Ofisini Kwetu, Mmoja Wapo Kati Yao Nimebahatika Kuwa Nae Kwenye Idara Moja, Kama Mjuavyo utani Wa Maofisini mara Aniite Mpenzi, Mara Baby Na namuita Vivyo Hivyo.
Siku Moja Nilimuomba Tutoke Akakubali, Tukiwa Outing Katika Mazungumzo ya Hapa Pale, Akaniambia Ameolewa na Mtoto Ila Mumewe Hawaishi Pamoja Kutokana Na Changamoto ya Ajira, Akanionyesha Hadi Picha Za Harusi.
Ila Tuliendelea Kuwa Karibu, Mara Nimpeleke Hadi Kwake, Mara Nimletee Zawadi Kama Chocolate , Perfumes, Siku Aki Order Supu, Na Mimi Ananiletea, Tukihug, Analegea Kabisa, She Is Free Tunakiss, Mara Kwenye Mazungumzo, Aseme Hapendi Mwanaume Anaekunywa ( Coz hua Nakunywa Sometimes) , Baadhi Ya Staff Wenzangu Wanahisi Tuna Mahusiano, Kwa Kweli Ni Mzuri Na Mimi Nampenda, Ila Napata Ugumu, Labda Nitakapomueleza Hisia Zangu Pengine Nikaharibu Kabisa, Au Nikafanikiwa, Na Nikikaa Kimya Sijui Ananionaje? NAOMBENI Ushauri Wadau, Au Nikae Mbali Nae? Maana Kadri Siku Zinavyoenda Anazidi Kunihamasisha, Kumuota Hakuishi, Mwisho Usiku Wa Jana Kuamkia Leo.
Mtanisamehe Kwa Uandishi Wangu, Sipo Vizuri Kwenye Kuandika
Ahsanteni Na Karibuni
Hapo anajiona mjanjaaaa kupenda mwanamke ambae tayari ana mumewe tena wandoa.Yaan kweli ukiskia ishu kama hizi ndio unaina kuoa nako si ishu.
Ila kweli atalipwa hapa hapa duniani
HahahaHaha.. it's okey. Now you know
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo la iceman najua usharuka pm hadi hivi punde
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braza hebu punguza fujo we ve just met
Nice to meet you too..Hahaha
Nice to meet you am Iceman