Nahisi kujaribiwa na huyu dada

Nahisi kujaribiwa na huyu dada

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Ni mdada tunaheshimiana sana na pengine amekuwa kama adopted sister kwa upande wangu, anajua A - Z kuhusu majanga yangu na wadada wa mjini na pengine anatumia muda wa kutosha kunishauri.

Sasa hali ni tofauti siku tatu zilizopita consecutively siku ya kwanza kaniomba nimpeleke akaogelee swimming pool bila shida nikampeleka anachojoa vinguo vyake mbele yangu huku akinitaka tuogelee wote huku viungo vyake vyote tete vinamvuta kila aliye lijali!

Tulichelewa kufika kanitaka twende kwake kwanza kufika kaniganda nilale kwake eti anaogopa nikadhani labda ntalala peke yangu stori stori na mimi mpaka mzee nikahisi usingizi kanipeleka chumbani kulala kanipigisha tena stori hadi nikapitiwa na usingizi bila kujua nimeshituka tumekumbatiana asubuhi ila nilijikuta na nguo zangu na yeye yuko na nguo zake alizokuwa amevaa kadai naye alipitiwa na usingizi!

Kesho yake kila mtu kashika 50 zake jioni kanitafuta tukapita club tukapiga moja baridi moja moto tukaenda kulala kwake maana anaogopa mpaka apate msichana wa kazi, sijajua kwa kuwa nilikunywa sijui alinishawishije tukalala chumbani kwake nimeamka nikajikuta niko na bukuta yeye na shimizi ila nadhani hatuku du!

Kesho yake jioni aliponitafuta nilimwambia najisikia vibaya na nalala kwangu mzee si akaibuka home nikajidai naumwa oh! full huduma mara juisi, mara matunda, mara msosi huku kavaa nusu ut.upu mwisho wa siku kadai hawezi lala mbali na mgonjwa tukalala sote!

Sasa leo kadai hawezi kulala wala kushinda bila mimi namheshimu sana jamani sijajua namuepukaje hapa?
Kama wewe ulikutwa na mambo haya please wewe ulitatuaje? ndugu zangu nisaidieni jamani!
 
acha ufuska wewe maskini wa bara la giza!!...badala ya kuwaza mambo ya msingi unatuletea mambo ya mbebez!!...ndiyo maana wabongo hamuendelei!!...mnawaza ngono time zote!!...korobwenzo we!!.
 
Kwenye gazeti la makorokocho leo kuna boooooonge la storiiiiiiii....!!!
 
Kweli unamheshimu,mara ya kwanza mmeamka mmekumbatiana na nyote mna nguo zenu mwilini,mara ya pili mlipoamka nguo zilipungua wewe ukabaki na bukta naye shumizi mkasingizia pombe,endelea kumheshimu mpaka siku mkiamka hamna hata nguo moja mwilini!!
Hivi mnakuwaje marafiki kiasi cha kutokuwa na mipaka? Ulipokubali kulala kwake kisa anaogopa ulimuuliza utalala wapi au ulisubiri akupeleke tu chumbani kwake mpige story mpaka mpitiwe na usingizi? Hivi kaka mkubwa hivyo unapangiwaje ratiba tu na rafiki like leo utalala wapi au nani atalala kwako na usiweze kupinga ukapanga vile unavyoona sahihi?
Endeleeni kuheshimiana bwana mpaka mtakaposituka mmeitwa baba na mama fulani!!
 
Mara zote upele humfika mtu asiye na kucha za kujikunia huyo ni dada wa tumbo moja au adopted? Na atakapo kutangaza kuwa wewe ni h.a..si usiseme kakutukana maana ujasiri wa mwanamume ni kukataa kulala na mwanamke sio kukubali kulala naye siku tatu halafu unamwangalia tu. Kama ningekuwa mimi ni lazima msipa ungepasuka na damu zingenitoka baada ya uvimbe wa masaa 12 mfululizo
 
Mkuu julius mahinya, story yako ni nzuri!!
Ni mdada tunaheshimiana sana na pengine amekuwa kama adopted sister kwa upande wangu, anajua A - Z kuhusu majanga yangu na wadada wa mjini na pengine anatumia muda wa kutosha kunishauri.
Sasa hali ni tofauti siku tatu zilizopita consecutively siku ya kwanza kaniomba nimpeleke akaogelee swimming pool bila shida nikampeleka anachojoa vinguo vyake mbele yangu huku akinitaka tuogelee wote huku viungo vyake vyote tete vinamvuta kila aliye lijali!!!!!!!
tulichelewa kufika kanitaka twende kwake kwanza kufika kaniganda nilale kwake eti anaogopa nikadhani labda ntalala peke yangu stori stori na mimi mpaka mzee nikahisi usingizi kanipeleka chumbani kulala kanipigisha tena stori hadi nikapitiwa na usingizi bila kujua nimeshituka tumekumbatiana ahsubuhi ila nilijikuta na nguo zangu na yeye yuko na nguo zake alizokuwa amevaa kadai naye alipitiwa na usingizi!!!!
Kesho yake kila mtu kashika 50 zake jioni kanitafuta tukapita club tukapiga moja baridi moja moto tukaenda kulala kwake maana anaogopa mpaka apate msichana wa kazi, sijajua kwa kuwa nilikunywa sijui alinishawishije tukalala chumbani kwake nimeamka nikajikuta niko na bukuta yeye na shimizi ila nadhani hatuku du!!!!!!!!!
Kesho yake jioni aliponitafuta nilimwambia najisikia vibaya na nalala kwangu mzee si akaibuka home nikajidai naumwa oh!!!! full huduma mara juisi, mara matunda, mara msosi huku kavaa nusu ut.upu mwisho wa siku kadai hawezi lala mbali na mgonjwa tukalala sote! Sasa leo kadai hawezi kulala wala kushinda bila mimi namheshimu sana jamani sijajua namuepukaje hapa?
Kama wewe ulikutwa na mambo haya please wewe ulitatuaje? ndugu zangu nisaidieni jamani!
 
Last edited by a moderator:
acha ufuska wewe maskini wa bara la giza!!...badala ya kuwaza mambo ya msingi unatuletea mambo ya mbebez!!...ndiyo maana wabongo hamuendelei!!...mnawaza ngono time zote!!...korobwenzo we!!.

Mkuu huu mwaka situkani hayo ni malengo yangu lakini unaweza kunionyesha wapi mimi nimeonekana nina ufuska? unajua maana ya masikini? akili zako ziko sawa kweli wewe? umefuata nini huku kwenye MMU? Heshimu watu uheshimike!!!!!!!!!!!!
 
Kweli unamheshimu,mara ya kwanza mmeamka mmekumbatiana na nyote mna nguo zenu mwilini,mara ya pili mlipoamka nguo zilipungua wewe ukabaki na bukta naye shumizi mkasingizia pombe,endelea kumheshimu mpaka siku mkiamka hamna hata nguo moja mwilini!!
Hivi mnakuwaje marafiki kiasi cha kutokuwa na mipaka? Ulipokubali kulala kwake kisa anaogopa ulimuuliza utalala wapi au ulisubiri akupeleke tu chumbani kwake mpige story mpaka mpitiwe na usingizi? Hivi kaka mkubwa hivyo unapangiwaje ratiba tu na rafiki like leo utalala wapi au nani atalala kwako na usiweze kupinga ukapanga vile unavyoona sahihi?
Endeleeni kuheshimiana bwana mpaka mtakaposituka mmeitwa baba na mama fulani!!
Nimejifunza sana hapa japo umetumia maswli sana kunionyesha my mistakes!!!!!!!!!!!!
 
nasubiri stori ijayo

hii nayo ni nzuri pia
 
Mkuu huu mwaka situkani hayo ni malengo yangu lakini unaweza kunionyesha wapi mimi nimeonekana nina ufuska? unajua maana ya masikini? akili zako ziko sawa kweli wewe? umefuata nini huku kwenye MMU? Heshimu watu uheshimike!!!!!!!!!!!!

kwahyo ndo unaanza kupovuka!!...usiwe kama mbebez banah!!...we dume zima unaanza kuleta stori za mahaba hapa!!...yaani akili yako ndo imeishia hapo!!...waachie haya mambo akina mbebez kama Lara 1 au Heaven on earth!!...au labda na wewe ni super mbebez you know!!
 
Kweli unamheshimu,mara ya kwanza mmeamka mmekumbatiana na nyote mna nguo zenu mwilini,mara ya pili mlipoamka nguo zilipungua wewe ukabaki na bukta naye shumizi mkasingizia pombe,endelea kumheshimu mpaka siku mkiamka hamna hata nguo moja mwilini!!
Hivi mnakuwaje marafiki kiasi cha kutokuwa na mipaka? Ulipokubali kulala kwake kisa anaogopa ulimuuliza utalala wapi au ulisubiri akupeleke tu chumbani kwake mpige story mpaka mpitiwe na usingizi? Hivi kaka mkubwa hivyo unapangiwaje ratiba tu na rafiki like leo utalala wapi au nani atalala kwako na usiweze kupinga ukapanga vile unavyoona sahihi?
Endeleeni kuheshimiana bwana mpaka mtakaposituka mmeitwa baba na mama fulani!!

hahahaaaaaaa yaani hii comment nimesoma mara mbili mbili nachekaje

siku wakiamka wanajikuta wote wako kama walivyozaliwa halafu that time

watamsingizia Shetani kuwa aliwapitia.........
 
Ungelikuwa mtoto mdogo ningekushauri ukamsemee kwa mzazi wake au unipe fimbo nimchape...
 
Back
Top Bottom