Nahisi kuibiwa tigo

Sijaona hata sehemu moja kuna mtu kasema alipiga customer service walimwambia nini au alipoenda ofisi za Tigo walimwambia nini.

Tusiishie kulalamika tu.

Hatua ya kwanza kama una kero na duku duku ni kuwasilisha kwa wahusika.jibu na mtu atayekujibu ni rekodi na uthibithisho unaoweza kutumia kuwa sue mbeleni.

kama hujaridhika na majibu unaweza kwenda au kuwaeleza TCRA. TCRA haawezi kuota kuwa kuna watu wanaibiwa bila wahusika wenyewe kuwasilisha formal complaints .

kampuni za simu zina customer servcie na wanatakiwa kutaja majina.

So watanzania tujenge utamaduni kwenda hatua moja zaidi na kufuatilia. kwa official channel.
 
Wanakata sana pesa ukiwa na call back ringtones!pia eti siku hizi tigo robo sh baada ya dk ya kwanza!jee dk ya kwanza wanatoza kiasi gani?wezi watupu tigo
 
nakushauri mkuu muazime mtu simu yako kisha ujibeep ukiskiamiziki ujue umejiunga na huduma ya mziki ambayo huwa na makato ya siku na ya mwezi pia...wateja wengi wanajiunga na miziki bila kujua kamakuna charges...namaanisha ringback tone (akikupigia mtu anaskia mziki unaimba)
 
Du hapo pa ringtone nakubali huwa wanakata miziki yao, mm siwalaumu tigo tu mbona hata airtel ukiweka sh 500 na kwenye modem na kuomba DATASIKU kabla ya kujie YES bundle ya 20MB inakwenda yote?
kuuliza nikaamiwa niweke zaidi ya 500/= na malipo yao yote lazima kuwe na ziada, na ukichelewa kuchungulia salio wanaikomba
sasa hivi imekuwa slowly sana airtel
 
hivi kwenye hiyo miziki unajitoa vp?nataka niweke register ya matumizi,nikituma sms naandika!nikipiga narekodi dakika,afu baada ya mwezi ntakuja na majibu ya huo utafiti gapa Jf
 
Nilifikiri nipo peke yangu, kuna siku kidogo nimletee noma wife, leo ndo nimejua kamchezo ka hawa jamaa kumbe ndio zao!!!
 
Nilifikiri nipo peke yangu, kuna siku kidogo nimletee noma wife, leo ndo nimejua kamchezo ka hawa jamaa kumbe ndio zao!!!

Hahahaaa! nimecheka sana: wife wangu anazo sana hizo, amenifundisha hata mm sku hizi kama sina salio napiga sachi kwake najirushia buk3! akigundua ancheeeka. Lol
Sorry, OFF T.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom